FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #2,181
UPDATE: Kamisheni ya afya ya China imeripoti visa vipya 20 sanjari na vifo vipya 14 nchini humo hii leo.
Visa vinne (4) pamoja na vifo vyote 14 ni kutokea Hubei pekee.
Hadi hivi sasa, idadi ya visa vyote nchi nzima ni 80,860 vikiwemo vifo 3,213.
Waliotibiwa na kupata ahueni wafikia 67,490 huku wengine 3,032 wangali wakiwa katika hali mbaya zaidi.