Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Achana na ngozi nyeusi,it is an original entinty of material creation. Magonjwa tunayouguaga Africa kila mara ,kama tungekuwa na hulka kama za wenzetu kuchek afya kila saa, nafkri ingekuwa hatari.

Sisi tunauguaga mafua tena makali hatari cha ajabu hatukosi kupiga kazi kwa ajili ya mafua. TENA HAKUNA HAJA YA KUUITA CORONA ,NI MAFUA TU KAMA MAFUA MENGINE
 
Naishauri serikali, kuiweka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro karantini haraka sana.. Like what China did to Wuhan.

Sipingi juhudi za kutrack network ya huyo mama mzalendo kwa usalama wa watu wa maeneo yale lakn ufanisi wake kudhibiti ugonjwa kusambaa nchi nzima utakuwa mdogo sana..

The best option ni serikali yetu kupambana kuhakikisha huu ugonjwa hausambai nchi nzima kwa kuidhibiti hiyo mikoa.

Tutarisk nchi nzima kama tusipodhibiti hii mikoa haraka, kwa sabb kuna baadhi ya wakazi wa mikoa ile watajaribu kukimbia kwenda mikoa mingine kutafuta usalama.

Endapo baadhi ya hao wakazi ni sehemu ya network ya huyo mama na uwezekano huo ni mkubwa sana, the whole country will be exposed.

Naendelea kukazia the best option ni kudhibiti ugonjwa kusambaa nchi nzima kuliko kuwekeza nguvu kusaka network ya huyo mama mzalendo.

China ina kesi nyingi, lakn sehemu kubwa ni kesi za Wuhan... Hii ni kwa sabb waliiweka Wuhan karantini kulinda nchi nzima kuathirika.

Ni ushauri tu.
 
UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 84 pamoja na vifo vipya sita (6) vimeripotiwa nchini humo Jumanne ya leo.

Jumla ya visa 8,320 vimeripotiwa nchi nzima vikiwemo vifo 81 hadi sasa.

Wagonjwa wapatao 1,401 mpaka sasa wameripotiwa kupata ahueni huku wengine 36 wangali katika hali mbaya zaidi.
 
UPDATE: Marekani

Hadi hivi sasa, visa vipatavyo 4,578 vikiwemo vifo 87 vimeripotiwa nchini humo.

Wagonjwa wapatao tisa (9) wamepatiwa matibabu na kupata nafuu huku wengine 64 wangali katika hali mbaya zaidi.

Majaribio ya kwanza ya chanjo dhidi ya COVID-19 kwa binadamu yameanza kufanyika nchini Marekani. Tayari watu wanne waliojitolea wamepatiwa chanjo hiyo katika maabara ya utafiti ya Kaiser Permanente, Seattle jimboni Washington.

Rais Trump amewataka Wamarekani kusitisha shughuli kubwa za kijamii na kutofanya mikusanyiko ya watu zaidi ya 10 ikiwa ni juhudi za kupunguza uenezwaji wa maambukizi ya COVID-19.
 
NEWS ALERT: Tom Hanks and Rita Wilson released from coronavirus treatment



US actor Tom Hanks and his wife Rita Wilson have been released from a hospital in Australia after receiving treatment for coronavirus.

The couple, who are now in self-quarantine in their Queensland rented home, announced they had tested positive last week. The couple were on the Gold Coast as Hanks made a film about Elvis Presley. Production has been put on hold. [BBC]
 
NEWS ALERT: President Trump urged Americans to halt most social activities for 15 days and not congregate in groups larger than 10 people in a newly aggressive effort to reduce the spread of the coronavirus. [Reuters]
 
NEWS ALERT: Iran frees 85,000 prisoners to combat spread of COVID-19

Iran has temporarily freed about 85,000 prisoners in an effort to combat the spread of coronavirus, a judiciary spokesman in the country has said. [Sky News]
 
mbona ugonjwa wenyewe sio tishio hata View attachment 1390671

Sent using Jamii Forums mobile app

Unajua 2% ya watu million 20 ni ngapi ?

Au Let’s say kwa Marekani walikuwa na projections za watu million 160 hadi million 200+ kupata maambukizi ( kabla hawajaanza interventions zao) , na Kati ya hao walikuwa wanaestimate watu laki 2 mpaka million 1.4 kufariki. Hapo utasema ni ugonjwa wa kawaida ?

Vilevile, ukiwa ndani ya hiyo 2% kwako ni 100%.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…