DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,983
- 11,857
aiseeehAchana na ngozi nyeusi,it is an original entinty of material creation. Magonjwa tunayouguaga Africa kila mara ,kama tungekuwa na hulka kama za wenzetu kuchek afya kila saa, nafkri ingekuwa hatari.
Sisi tunauguaga mafua tena makali hatari cha ajabu hatukosi kupiga kazi kwa ajili ya mafua. TENA HAKUNA HAJA YA KUUITA CORONA ,NI MAFUA TU KAMA MAFUA MENGINE
Sent using Jamii Forums mobile app