Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

aiseeeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[QUOTE="Elisha2004, post: 34688347, member: 585631"

Don't make a promise you can't fulfill...
[/QUOTE
CDM akili ilikuwa ya Dr. Slaa, kabla ya Dr Slaa kuondoka CDM, Mbowe alikuwa anaandika articles cha ajabu toka Slaa aondoke sijawahi ona article yeyote. Kwenye swali la Elimu top leadership ya chadema mwenye elimu zisokuwa na tatizo ni Lisu, Matiko and Mdee tu. Waliobaki elimu zao hazieleweki. Hizo akili unazosema sijui ni za nini labda za wezi. Nje iliowataja hakuna mtu aliyewahi kuwa na Waledi zaidi ya jukwaa na fujo[/QUOTE]
 
Tunataka kuona waraka kuhusu corana, Maasakofu wametukuwa na utaraatibu wa kutoa wakara kwa watu wote pindi litokeapo tukio kubwa lenye muonekano wa kisiasa. Huu ukimya sio kawaida, nii inaonesha wazi kuwa huwa viongozi wako bias.
Serikali yako ya awamu ya tano mpaka sasa imeshachukua tahadhari gani mpaka sasa? Labda tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii CHADEMA hii!! Kuna watu itawaua. Na ninavyoona CCM wanaiogopa CHADEMA kuliko hata COVID-19
 
huu ugonjwa unaenda mwez wa sita sasa umeua watu 7000+ tu dunia nzima, utaufananishaje na ugonjwa ambao kwa msimu unaua watu karibu laki 1, zingekua walau sawa vifo vingetakiwa viwe vinakaribia laki saiv

lakn pia , usisubiri kuhusu dawa , hakuna kirusi chenye dawa ... umekuzwa sana na media huu ugonjwa , kwa muda wote huo , malaria ni unaua mara kumi zaid ya huu , kwa mwaka malaria inaua watu 280,000 ...huu kwa speed yake hawawezi vuka 20000 kwa mwaka , labda atokee kirusi mwingine sio huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema walikuwa wanasubiria kwa hamu Korona, imefika wanashangilia na wafuasi wao, nenda pale ufipa utawakuta wakifanya sherehe.
Wanaccm tupo tunashangilia maana ili ni dili...pesa za mwenge kama kawaida hamna cha ukaguzi wa matumizi
 
Tumezoe kupata statement toka Chadema na Maaskofu kunapotekea matukio ya watu kukamatwa na police au kutekwa. Cha ajabu kwenye hili swala la kufa na kupona kwa Watanzania wote wamekaa kimya kulikoni?????
Hilo suala ningetegemea ungeliwauliza hao wanaoruhusu ndege za Kitalii kutoka China na Italy. Sifikirii kama maradhi haya yangelianza Afrika tungeliruhusiwa kuingia nchi yoyote ya Ulaya au Asia.
 
Akili za watu wanaweza kuacha kulala na vyandarua ila wakakumbuka kununua mask

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[/QUOTE]Nimesikitika kuona Tanzania tuna mtu kama ww bado unaitaji matibabu tu na maombi nazani kuliko mgonjwa wa corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
humu zilikuwa znaekwa update tu sahivi kuna wachambuzi wameingia...

Sent from my SM-G950U using Tapatalk
 
France ,cases chini ya 7000, ila vifo ni zaidi ya 100.

S.korea, cases ni 8320, ila vifo ni 81.

Beggars can't be choosers
 
Search:

Country,
Other
Total
Cases
New
Cases
Total
Deaths
New
Deaths
Total
Recovered
Active
Cases
Serious,
Critical
Tot Cases/
1M pop
China80,881+213,226+1368,7158,9403,22656.2
Italy31,506+3,5262,503+3452,94126,0622,060521.1
Iran16,169+1,178988+1355,3899,792192.5
Spain11,409+1,467510+1681,0289,871563244.0
Germany8,639+1,36723+6678,5492103.1
S. Korea8,320+8481+61,4016,83859162.3
France6,633148126,473400101.6
USA5,723+1,06097+11745,5521217.3
Switzerland2,742+38927+8152,700316.8
UK1,950+40771+16521,8272028.7
Netherlands1,705+29243+1921,6604599.5
Norway1,452+104311,44827267.8
Austria1,332+3144+181,32012147.9
Belgium1,243+18510141,21933107.3
Sweden1,191+708+111,18212117.9
Denmark977+634197218168.7
Japan878+4529+1144705416.9
Diamond Princess696745623315
Malaysia673+1072+2496221020.8
Australia452+51527420117.7
Canada452+115+111436112.0
Portugal448+117134441843.9
Qatar4394435152.4
Czechia434+903431240.5
Greece387+355+1143681137.1
Israel324+2611313537.4
Finland322+4410312258.1
Brazil301+671+12298181.4
Ireland292+6925285659.1
Slovenia275+2212744132.3
Singapore266+231141521445.5
Bahrain241+131811593141.6
Iceland240+411+152341
Pakistan236+52122331.1
Estonia225+201224169.6
Poland221+445+121635.8
Romania217+4919198511.3
Chile201+45201310.5
Egypt196+306+2261641.9
Philippines187+4512517011.7
Thailand177+3014113512.5
Indonesia172+387+281570.6
Saudi Arabia171+3861654.9
Hong Kong168+1348183422.4
Iraq154+2111+1411023.8
India142+133+1141250.1
Luxembourg140+59113910
Kuwait130+712118430.4
Lebanon120+1134113317.6
Peru117+31111683.5
Russia114+2181060.8
Ecuador111+53210926.3
San Marino10411+448911
UAE98267229.9
Slovakia97+2597217.8
Mexico82+2947810.6
Bulgaria81+1927911.7
Armenia78+26177226.3
Taiwan77+10120563.2
Serbia72+1517148.2
Panama69168716.0
Croatia69+1256416.8
Argentina68+3236311.5
Vietnam66+516500.7
Colombia65+111641.3
South Africa62621.0
Algeria605+110451.4
Latvia60+2615931.8
Brunei56+2561
Albania55+4154219.1
Hungary50+1112475.2
Cyprus49+349140.6
Faeroe Islands47+2947
Turkey47470.6
Sri Lanka44+161432.1
Costa Rica414138.0
Palestine41+2418.0
Jordan40+111393.9
Morocco38+12+113511.0
Malta38+8236
Belarus363333.8
Georgia34+113318.5
Cambodia33+211322.0
Kazakhstan33+23331.8
Venezuela33+16331.2
North Macedonia31+7130114.9
Moldova30+112917.4
Uruguay29298.3
Azerbaijan28+316212.8
Senegal272251.6
Bosnia and Herzegovina27+22258.2
Oman2412124.7
Tunisia2412322.0
Afghanistan22+11210.6
Lithuania22+412118.1
Dominican Republic211201.9
Andorra16+2115
Martinique15114
Burkina Faso15150.7
Macao13+1103
Maldives1313
New Zealand12+4122.5
Jamaica122104.1
Bolivia11110.9
French Guiana1111
Uzbekistan11+3110.3
Bangladesh10+2370.1
Cameroon10+5100.4
Monaco99
Paraguay9+1911.3
Réunion99
Guatemala8170.4
Honduras8+280.8
Guyana716
Ukraine7160.2
Liechtenstein77
Rwanda770.5
Channel Islands66
Ethiopia6+160.1
Ghana660.2
Guadeloupe66
Cuba5+150.4
Guam5+25
Mongolia5+151.5
Puerto Rico551.7
Trinidad and Tobago5+153.6
Ivory Coast440.2
Kenya4+140.1
Seychelles4+14
Nigeria3+112
Aruba3+13
Curaçao3+13
DRC33
French Polynesia33
Gibraltar321
St. Barth33
Barbados2+22
Liberia2+120.4
Namibia220.8
Saint Lucia22
Saint Martin22
U.S. Virgin Islands2+12
Cayman Islands110
Sudan110
Nepal110
Antigua and Barbuda11
Bahamas11
Benin110.1
Bhutan11
CAR110.2
Congo110.2
Equatorial Guinea110.7
Gabon110.4
Greenland11
Guinea110.1
Vatican City11
Mauritania110.2
Mayotte11
St. Vincent Grenadines11
Somalia110.1
Suriname11
Eswatini110.9
Tanzania11
Togo110.1
Total:194,73512,2907,89674981,080105,7596,73025.0

Tusipokuwa makini, hofu ndio itayotuua wengi zaidi kuliko hata Corona yenyewe, tumatishana kwa nguvu zote kuliko kuchukua hatua za kitahadhari na kimatibabu ya dharura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…