Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!!🤔 Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*

🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.😢

*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .

*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*🙏🏽
 
Hii Covid19 hapa bongo inachukuliwa kisiasa zaidi, tutegemee maamuzi ya ajabu kuwahi kutokea kwenye nchi hii chini ya huu utawala wa Yezebeli.
#tumehuruyauchaguzi
#nohatenofear

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Kwa wale tunaofikiri wagonjwa 19 wa Covid 19 kwa Tanzania bado SIO SERIOUS!!🤔 Hebu tuangalie wenzengu wa nchi nyingine walikotoka wiki tatu zilizopita*

🇮🇹 Italy
February 21 2020 - 21 cases
March 27 2020 - 86,498 cases

🇺🇸 United States
February 21 2020 - 16 cases
March 27 2020 - 100,037 cases

🇫🇷 France
February 26 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 32,964 cases

🇩🇪 Germany
February 25 2020 - 18 cases
March 27 2020 - 50,178 cases

🇪🇸 Spain
February 27 2020 - 25 cases
March 27, 2020 - 64,059 cases

🇮🇷 Iran
February 19 2020 - 5 cases
March 27 2020 - 32,332 cases

South Africa 🇿🇦
March 1 2020 - 1 case
March 27 2020 - 1,170 cases

*Tupo pale wenzetu walipokuwepo wiki mbili tatu zilizopita.*
*Kama hatutajitahidi kujikinga nasi tutafika huko*.😢

*Watanzania wenzangu tujitahidi kuzuia muendelezo wa maambukizi ya Covid 19 kwa kuzingatia njia tunazoelekezwa na wizara.* .

*Ni jukumu lako wewe na mimi! Tuzingatie*🙏🏽
 
Haiwezekan magonjwa ya tropical yatuue na haya ya ajab yatuue,it won't b fea
 
Yani wazungu wapo standby wanasubiri na sisi tufe kama wao, nakuhakikishia haitatuathiri kama inavyoathiri wazungu, ndio wapo sophisticated kuliko sisi, ila our genetic build up inatusupport kusurvive, mimi nimepona corona ndani ya week moja, yaani sisi malaria tunapata tunakuwa poa in days, mzungu mpe malaria uone anavyochungulia kaburi, I'm not ignorant au arrogant ila ukweli ndio huu, ila tuendelee tu kuchukua hatua kujikinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Return Of Undertaker, Ubishi, ujuaji na maisha ya mazoea hakika ni janga kubwa kuliko coronavirus. Na siasa ikiingizwa katika juhudi za kuzuia maambukizi, hali inakuwa tete.

Ni mimi, wewe, yeye, yule, wao, na wale kuchukua hatua stahiki za kujikinga kuambukizwa au kuambukiza.
 
Hii inanikumbusha kisa cha wakati wa Nuhu. Mvua ilipoanza watu hawakuogopa.

Mvua ikaongezeka watu wakasema ni kawaida tu itapita!!

Maji yalipofika shingoni wakamkumbuka Nuhu wakafa na kuzama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekuwepo na janga lisiloeleweka mitaani mwetu baada ya serikali kufunga mashule na vyuo mbalimbali Nchini maeneo ya wazi na viwanja vya mipira mitaani watoto wamekuwa wakishinda wakicheza michezo mbalimbali makundi kwa makundi hii haipo poa maana mlipuko wa COVID 19 unazidi kupamba Moto.

Ni maoni yangu serikali kupitia mabalozi, wenyeviti na watendaji wa mitaa kupiga marufuku michezo yoyote maeneo ya wazi na viwanja vya mipira kitaa maana ni hatari sana kwa kipindi hiki.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom