Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Unaitwa dokta nani[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu mwenyewe anawaamini wazee wa vitisho, wazee wa kutubu na kuomba huku wamekodolea sadaka! watumishi wa mungu!
Kamaa nakutishaa July TUKUTANE HAPANA uone kama hukokazini mtarudi mnavyopangaa
 
Halii n mbayaa mkuu hiikitu usishangae January 2021/22 inabaki na MASHARRTI hahahaaa ooh
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Nataka kujua au ata tupicha nyie watu wa dar hali ya usafiri mbagala tegeta mbezi kimara abiria wanajazani kama kipindi kile nilivyokuja nilipata tabu sana na yale mabasi yenu marefu!hali ya nauli ikoje kwa sasa
 
Tulisema Italy wazee wengi ndio maana wanakufa
Haya italy ana vifo 15k+
Spain vifo 11k

Marekani ana vifo 8k+
Dunia yote hadi sasa vifo 62k+

Kwa nionavyo marekani atazipiku nchi zote kwenye vifo maana maambukizi kwake ni makubwa sana. Ana karibu maambukizi laki 3 kasoro hadi sasa.
 
Mungu wangu!!!! Yaani jana hadi leo zimeongezeka case 1,000,000+ na vifo vimeongezeka 60,000+??!! Jesus christ!!!!!! This is the worst day by far
 
Jana majira ya asubuhi....Kuna Padre amefariki hospitali ya peramiho ruvuma songea....Padre huyo ametokea italy alipokua akiishi kwa kwa miaka kadhaa....na ameingia hapo Tar 3 ya mwezi huu.

Na tunafahamu amefariki kwa corona. Sasa nasubiri kuona serikali ikifumbia macho jambo hili na kusababusha mfumuko wa corona huko Songea.

Mana kahudumiwa sana na manesi pale Peramiho.....na inafahamika wazi kafa kwa Corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlatinoh king,
Mkuu nyinyi ndio wakuchinjwa.
We ulimpima au kuna aliyempima akaona na Corona..

Yani Corona tu ndio yaua Sasa magonjwa mengine yamepumzika au...!?

Kubwa jinga wewe. Yana unatamani sana Ruvuma ipate Corona wewe Ngedere..
Hivi unazani Nimasihara sana.

Yani Wewe sijui kwanini hata ulikuwa bongo..Natamani ungezaliwa Milan ndio unhejua kushadadia Corona.

Wewe ni Kuku. Tena si kuku we Ni Popo,ng'ombe na Jitu Baya Chawi Kubwa..kenge Nguruwe wewe..

Hata nikipewa Ban Fureshi Tu...ila si kwa chawi kama wewe
 
Siwezi kuongea kila kitu ila ndo ujue hivo.........nlna hata nisingetoa hii taarifa mm....naamini kuna watu wangeisemea....mi ni kimbelembele changu tu.....but jua hivo......na vithibitisho vyote vipo Anti-Hacker,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…