Habari za majukumu wana JF.
Kuna jambo naliona linaendelea kuhusu takwim fake zinazotolewa za corona kwa bara la africa na ngozi nyeusi kwa ujumla.
Umoja wa mataifa ulitangaza kuwa Africa ndo inaelekea kuwa janga kubwa la Corona,lakini wamesahau marekani imefika zaidi ya laki saba huku nchini za africa zikiwa kwenye mia na ugongwa unasambaa kwa kasi dogo ukilinganisha na mataifa mengine.
Ajabu mataifa yao yanaonekana wako sehemu nzuri kuliko Africa na hawajakubali ni bora kuliko wao kwa ugongwa huu.
Marekani takwim zinatangazwa kwa kutenganisha.rangi nyeupe na nyeusi.
Wanadai weusi ndo wanapata sana corona,lakini makazini na mtaani watu weusi wanatamba hata haw
Hawanashida kama walivyo wao kila dakika ni mafua na kikoozi.
Najua wana maswali mengi kwanini hawa watu wako slow sana kupata ugongwa huu.
Sent from my iPhone using JamiiForums