Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂Maambukiz hakuna,Tanzania is safe
Mbunge wa Kinondoni Mtulia?Aliyeunga mkono juhudi pale kinondoni inasemekana tia maji tia maji [emoji40]
Inatamkwa hivyo!!
Tayari sasa kuna 257, watatu wamepoteza maisha jana. Taarifa rasmi ya Ummy Mwalimu.Ndugu unataka Updates zipi tena zaidi ya kile Kilichotokea Usiku wa Kuamkia leo na Kinachoendelea sasa?
Tayari sasa kuna 257, watatu wamepoteza maisha jana. Taarifa rasmi ya Ummy Mwalimu.
Kama From 1st April mpaka 20 April kimekuwa na ongezeko la wagonjwa kwa percent 1,170 je baada ya miezi mitatu tutakuwa na wagonjwa wangapi? Assuming all conditions remain the same maana hakuna any new measure to combat the infection rate
Tumia trend ya waziri wa Afya under this link
Tanzania Coronavirus: 254 Cases and 10 Deaths - Worldometer