Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Gharama ya majaribio ya dawa ni kubwa sana, hii inaonyesha ni jinsi gani tatizo lilivyo kubwa pia.
 
Wa
 
Wa
 
Kiukweli watoto wa Hitler wamefanikiwa na ndiyo maana wanajiamini kwamba ligi kuu ya ujerumani itarudi Mei 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idadi ya vifo vya COVID-19 inatia wasiwasi nchini Marekani

Watu waliokufa kutokana na virusi vya corona nchini Marekani wamefikia 45,000 leo ikiwa ni idadi iliyopanda maradufu katika kipindi cha wiki moja, huku rikodi ya vifo vya kila siku nayo ikiongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi. Jana Jumanne Marekani ilirikodi vifo 2,750 kwa siku licha ya takwimu mpya kuonesha maambukizi ya kila siku yanapungua nchini humo. Majimbo ya New Jersey, Pennsylvania na Michigan kila moja liliripoti vifo vya zaidi ya watu 800 kwa siku, huku jimbo la New York lililo kitovu cha mlipuko wa virusi vya corona nchini Marekani lilirikodi vifo vya watu 481. Marekani ndiyo taifa lenye visa vingi vya maambukizi ya virusi vya corona vinavyofikia 810,000 ambavyo ni karibu mara nne ya maambukizi nchini Uhispania, taifa la pili kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa corona duniani.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo yote ni ma ajabu ya Mungu angalia India yenye watu 1.2bn maisha duni chakula cha hovyo malazi ya hovyo wana vifo 340 tu......Marikani inauwezo wa kila kitu wana vitilators kuliko wagonjwa wanakufa vibaya......mimi nasema hivi hu ugonjwa hauna formular kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia media mbalimbali utaona wazungu au westernes wanavohangaika na kuumia kichwa juu ya Africa na population

Check sasa



Miaka 100 ijayo Tanzania tutakua million 300 wakati Nigeria watakua billion moja


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…