Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Gharama ya majaribio ya dawa ni kubwa sana, hii inaonyesha ni jinsi gani tatizo lilivyo kubwa pia.
 
Wa
Habari za majukumu wana JF.

Kuna jambo naliona linaendelea kuhusu takwim fake zinazotolewa za corona kwa bara la africa na ngozi nyeusi kwa ujumla.

Umoja wa mataifa ulitangaza kuwa Africa ndo inaelekea kuwa janga kubwa la Corona,lakini wamesahau marekani imefika zaidi ya laki saba huku nchini za africa zikiwa kwenye mia na ugongwa unasambaa kwa kasi dogo ukilinganisha na mataifa mengine.

Ajabu mataifa yao yanaonekana wako sehemu nzuri kuliko Africa na hawajakubali ni bora kuliko wao kwa ugongwa huu.

Marekani takwim zinatangazwa kwa kutenganisha.rangi nyeupe na nyeusi.

Wanadai weusi ndo wanapata sana corona,lakini makazini na mtaani watu weusi wanatamba hata haw
Hawanashida kama walivyo wao kila dakika ni mafua na kikoozi.

Najua wana maswali mengi kwanini hawa watu wako slow sana kupata ugongwa huu.

#Wanatutabiria sisi mabaya zaidi kuhusu ugonjwa huu
 
Toka hili janga limeanza nimekuwa nikifatilia mataifa makubwa yanavyoshughulika na hili janga kivutio kikubwa kwangu mie ni namna hawa vijana wa Adolf Hitler walivyo siriaz kwanza hawana mbwembwe pili ukiangalia namba za wanaokufa na wanaopona unaona wenzetu walijipanga nadhani wapo more advance kuliko hata china angalia mpk leo wana total cases 147,065 na wana total deaths 4,862 na total recovered 95,200 na active cases 47,003 ukiangalia wanaopona ni wengi zaidi kuliko wanaofariki wanafanya nini kuwa na mafanikio makubwa kwenye hili tofauti sana na sie tuna total deaths10 wakati recoverd 11 kuna jambo la kujifunza kwenye hiliView attachment 1425509
Kiukweli watoto wa Hitler wamefanikiwa na ndiyo maana wanajiamini kwamba ligi kuu ya ujerumani itarudi Mei 9

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idadi ya vifo vya COVID-19 inatia wasiwasi nchini Marekani

Watu waliokufa kutokana na virusi vya corona nchini Marekani wamefikia 45,000 leo ikiwa ni idadi iliyopanda maradufu katika kipindi cha wiki moja, huku rikodi ya vifo vya kila siku nayo ikiongezeka kwa kiwango cha kutia wasiwasi. Jana Jumanne Marekani ilirikodi vifo 2,750 kwa siku licha ya takwimu mpya kuonesha maambukizi ya kila siku yanapungua nchini humo. Majimbo ya New Jersey, Pennsylvania na Michigan kila moja liliripoti vifo vya zaidi ya watu 800 kwa siku, huku jimbo la New York lililo kitovu cha mlipuko wa virusi vya corona nchini Marekani lilirikodi vifo vya watu 481. Marekani ndiyo taifa lenye visa vingi vya maambukizi ya virusi vya corona vinavyofikia 810,000 ambavyo ni karibu mara nne ya maambukizi nchini Uhispania, taifa la pili kwa idadi kubwa ya wagonjwa wa corona duniani.

Hayo yote ni ma ajabu ya Mungu angalia India yenye watu 1.2bn maisha duni chakula cha hovyo malazi ya hovyo wana vifo 340 tu......Marikani inauwezo wa kila kitu wana vitilators kuliko wagonjwa wanakufa vibaya......mimi nasema hivi hu ugonjwa hauna formular kamili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia media mbalimbali utaona wazungu au westernes wanavohangaika na kuumia kichwa juu ya Africa na population

Check sasa
Screenshot_20200422-182539.jpg

Miaka 100 ijayo Tanzania tutakua million 300 wakati Nigeria watakua billion moja
Screenshot_20200422-181707.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom