Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Najua China siyo ulaya ila jimbo la Beijing jamaa kalipuka tena na wamerudishwa tena fasta "lockup"
 
Locked down anaiweza mchina tu wengine haifanyi kazi kwao
 
Ugonjwa ulipoanzia (China) waliokufa na kuambukizwa ni wachache kuliko sehemu nyingine. Hatari
 
Ugonjwa ulipoanzia (China) waliokufa na kuambukizwa ni wachache kuliko sehemu nyingine. Hatari
Kulingana na takwimu zinazoendelea kutolewa ukizingatia pia na utaratibu unaotumika katika utoaji wa takwimu hizo.
 
mbona wakati wa maandamano hakukua na records zozote za covid19 ?[emoji848]
 
WHO shirika la uchuro duniani...

kufeni na nyie kwanza muongeze idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…