Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Kwa vile waafrika si waoga wa kufa.Wazungu wengi ni waoga wa kufa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile waafrika si waoga wa kufa.Wazungu wengi ni waoga wa kufa...
Hujajibu facts.. umejib mipasho. Na hapa ndio tatizo la wengi lilipo. No logic no deep thinking at all.Kuna wagonjwa wangapi hapo kwako mkuu,jirani zako jee? Vipi ndugu jamaa na marafiki nao hujapata taarifa zao kuwa wanakorona?
Kama hao wote niliokuuliza hawapo sasa hofu yako ni nini mkuu? Unataka uambiwe ugonjwa upo ili khali haupo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa namba ni chache ni kwasababu hawapimi,chukulia mfano TZ mpaka sasa kitakwimu walioathirika na corona ni 580 na vifo ni 11 tu hiyo ndio takwimu ya serikali.Brazil na Russia blacks ni minority is equal to nill
Nipe Nchi zenye majority blacks zilizoathirika sana
Hapo kwenye brazil...karibia nusu ya population yao ni black. And it is not eaqual to nill kama ulivyosema.
Blacks wako 55,900,000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rusia na Brazil siyo AfrikaMuulize russia ..muulize brazili. Walidhani ni utani leo russia ni wapili , brazili ni watatu kwa maambukizi duniani.
Sisi huku nyumban propaganda ndio nyingi. Propaganda kuaminisha wananchi kuwa ugonjwa haupo wkt in reality bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Africa namba ni chache ni kwasababu hawapimi,chukulia mfano TZ mpaka sasa kitakwimu walioathirika na corona ni 580 na vifo ni 11 tu hiyo ndio takwimu ya serikali.
Waziri Mkuu wa Uingereza alipatwa na Coronavirus akajiweka karantini wiki mbili Number 10 Downing Street, Rais wetu mpendwa yuko Chato miezi miwili akijifukiza na kubugia mitishamba mpaka ya Madagascar kwa sababu kagonjwa haka kadogo kameingia nchini. Wazungu wa wapi waoga?Janga la corona, limedhihirisha kwamba wazungu ni waoga, sijui kwa sababu wote wamesoma.. unajua kuto kusoma nako ni faida kwa kuchukulia mambo poa.
Wazungu saizi wanaogopa corona kuliko hata simba wakati africa bando matangazo ya disco na sherehe yanaendelea kubandikwa.
Tumeona wazungu wakikimbia africa, wana amini watakufa na corona, lakini cha kushangaza hakuna corona africa kama ilivyo kwa wazungu.
WHO ilitabiri kuona maiti zikizagaa wakasahahu kwamba bara la africa ndilo lenye binadamu fit wenye afya kuliko mabara mengine. Africa hakuna huduma za afya ukiona mtu anatembea ujue yupo fit.
Media za Mabeberu zilitengeneza propaganda ili corona iwe tatizo la dunia
Ila Kiukweli corona is nothing for black
Naomba nikusahihishe, ni culture yao kuchukulia mambo very seriously, mfanoJanga la corona, limedhihirisha kwamba wazungu ni waoga, sijui kwa sababu wote wamesoma.. unajua kuto kusoma nako ni faida kwa kuchukulia mambo poa.
Wazungu saizi wanaogopa corona kuliko hata simba wakati africa bando matangazo ya disco na sherehe yanaendelea kubandikwa.
Tumeona wazungu wakikimbia africa, wana amini watakufa na corona, lakini cha kushangaza hakuna corona africa kama ilivyo kwa wazungu.
WHO ilitabiri kuona maiti zikizagaa wakasahahu kwamba bara la africa ndilo lenye binadamu fit wenye afya kuliko mabara mengine. Africa hakuna huduma za afya ukiona mtu anatembea ujue yupo fit.
Yaani..ahahahha noma sana blacksUnakuta mtu yupo juu ya gari ya taka kwenda dampo anakula mihogo na Yuko fiti sembuse mafua ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani..ahahahha noma sana blacksUnakuta mtu yupo juu ya gari ya taka kwenda dampo anakula mihogo na Yuko fiti sembuse mafua ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Mihemko gani sasa wakati mtoa mada yeye kaelezea kuhusu uimara wa Waafrika, afu jamaa akasema tuwaulize Russia na Brazil kana kwamba wale WaafrikaHoja hupingwa kwa hoja sio kwa mihemko
Halafu taka zimeoza zinatoa funzaUnakuta mtu yupo juu ya gari ya taka kwenda dampo anakula mihogo na Yuko fiti sembuse mafua ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
And i am talking about worldwide incident..sio africa.
They are considering themselves as other groups. But no.. not totaly blacks.Hivi half cast wapo kwenye kundi la blacks?