Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazungu si waoga. Ila wako makini sana to the extent jambo kama la corona wana litilia maanani sana.Janga la corona, limedhihirisha kwamba wazungu ni waoga, sijui kwa sababu wote wamesoma.. unajua kuto kusoma nako ni faida kwa kuchukulia mambo poa.
Wazungu saizi wanaogopa corona kuliko hata simba wakati africa bando matangazo ya disco na sherehe yanaendelea kubandikwa.
Tumeona wazungu wakikimbia africa, wana amini watakufa na corona, lakini cha kushangaza hakuna corona africa kama ilivyo kwa wazungu.
WHO ilitabiri kuona maiti zikizagaa wakasahahu kwamba bara la africa ndilo lenye binadamu fit wenye afya kuliko mabara mengine. Africa hakuna huduma za afya ukiona mtu anatembea ujue yupo fit.
Muulize russia ..muulize brazili. Walidhani ni utani leo russia ni wapili , brazili ni watatu kwa maambukizi duniani.Media za Mabeberu zilitengeneza propaganda ili corona iwe tatizo la dunia
Ila Kiukweli corona is nothing for black
muda utaingeaMuulize russia ..muulize brazili. Walidhani ni utani leo russia ni wapili , brazili ni watatu kwa maambukizi duniani.
Sisi huku nyumban propaganda ndio nyingi. Propaganda kuaminisha wananchi kuwa ugonjwa haupo wkt in reality bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muulize russia ..muulize brazili. Walidhani ni utani leo russia ni wapili , brazili ni watatu kwa maambukizi duniani.
Sisi huku nyumban propaganda ndio nyingi. Propaganda kuaminisha wananchi kuwa ugonjwa haupo wkt in reality bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini umeshajiuliza kuhusu life span yao na yetu? Manake sio tu kusema mtu yuko fiti lakini hatoboi zaidi ya miaka 60 wakati hao 'waoga' wanadunda hadi miaka 100Unakuta mtu yupo juu ya gari ya taka kwenda dampo anakula mihogo na Yuko fiti sembuse mafua ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta mtu yupo juu ya gari ya taka kwenda dampo anakula mihogo na Yuko fiti sembuse mafua ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini umeshajiuliza kuhusu life span yao na yetu? Manake sio tu kusema mtu yuko fiti lakini hatoboi zaidi ya miaka 60 wakati hao 'waoga' wanadunda hadi miaka 100
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe jamaa muda mwingine bora ukae kimyaBrazil na Russia blacks ni minority is equal to nill
Nipe Nchi zenye majority blacks zilizoathirika sana
wewe jamaa muda mwingine bora ukae kimya
Acha uwongo basiSisi tunaishi miaka 40, ndio wengi waliobaki ni vijana..haa
Kuna wagonjwa wangapi hapo kwako mkuu,jirani zako jee? Vipi ndugu jamaa na marafiki nao hujapata taarifa zao kuwa wanakorona?Muulize russia ..muulize brazili. Walidhani ni utani leo russia ni wapili , brazili ni watatu kwa maambukizi duniani.
Sisi huku nyumban propaganda ndio nyingi. Propaganda kuaminisha wananchi kuwa ugonjwa haupo wkt in reality bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
For the record start with south africa.. yes south africa.Brazil na Russia blacks ni minority is equal to nill
Nipe Nchi zenye majority blacks zilizoathirika sana
Hapo kwenye brazil...karibia nusu ya population yao ni black. And it is not eaqual to nill kama ulivyosema.Brazil na Russia blacks ni minority is equal to nill
Nipe Nchi zenye majority blacks zilizoathirika sana
Kwenye dampo kuna vingi. Inategemea anakula nini.Unakuta mtu yupo juu ya gari ya taka kwenda dampo anakula mihogo na Yuko fiti sembuse mafua ya Corona
Sent using Jamii Forums mobile app