Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Sio wazungu tu hata vibaraka wao, mfano Chadema, Zitto, Fatma Karume na Maria Sarungi wanaombea sana Watanzania wafe (utafikiri wao hawatakufa).Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!