Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kweni ni uongo takwimu zinafichwa upimaji very primitive watu wanatembea na virusi huku wakiambukuza maalfu

Wagonjwa wanakufa kwa mkupuo viongozi wanasema ati ni pumu na changamoto za kupumua
Basi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?
 
Afrika,kuna Nchi zinaficha idadi ya maambukizi kijeuri tu kama Tanzania ya mchato lakini kuna Nchi nyingine zinajitahidi sana ila kutokana na mazingira na uwezo mdogo ndio unaozikwamisha
 
Basi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?
Bahati mbaya ni kutokuwa na viongozi wenye maono ya kutuondoa katika hali hiyo; badala yake wanazidi kutuhimiza tudidimie zaidi hata kuliko tulivyokwishapiga hatua chache mbele. Tunaambiwa tukasali, tutumie 'nyungu' na dawa ambazo hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha zinafanya kazi kwenye ugonjwa huu mpya..

Ni kama tunarudi kinyumenyume, badala ya kwenda mbele kwa kasi; kwa sababu sisi tunatakiwa kuigiza tu, jinsi ya kutumia yaliyokwishavumbuliwa na wenzetu ili yatuletee maendeleo haraka.
Hatuna haja tena ya kufanya uvumbuzi mpya wa haya mambo.

Kama ni laana, laana yetu ipo hapo: kushindwa kutumia njia zilizopo tayari ili twende haraka mbele.
 
Mkuu ukiacha mkumbo na akili ndogo

Mtaani kwenu wewe kuna vifo vingapi vya kudhani ni corona, mtaani kwako wewe, sio mitandaonj
LOoo, haya basi, "akili ndogo" ya mtandaoni, huku mwenyekuulizwa atoe takwimu za kijijini kwao yupo kwenye mtandao! Bila shaka naye akiwa "akili ndogo"!

Tuanze kwa kuhesabu kuna mitaa mingapi Tanzania. Tutafute watu wa kutoa taarifa kila mtaa pametokea vifo vingapi katika wakati maalum.
Na ili tuweze kupata taarifa hizi ni lazima tutafute ruhusa toka ofisi kadhaa za serikali.

Ndio maana watu wenye akili kubwa hawapo mitandaoni!
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Na wamegoma lockdown. Wanajielewa hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbongo akipata nafuu utamjua tu hebu fungeni midomo msikufuru mkakabidhiwa mikwaju ya vigoko hapa na Mungu
 
Bahati mbaya ni kutokuwa na viongozi wenye maono ya kutuondoa katika hali hiyo; badala yake wanazidi kutuhimiza tudidimie zaidi hata kuliko tulivyokwishapiga hatua chache mbele. Tunaambiwa tukasali, tutumie 'nyungu' na dawa ambazo hakuna ushahidi wowote wa kuonyesha zinafanya kazi kwenye ugonjwa huu mpya..

Ni kama tunarudi kinyumenyume, badala ya kwenda mbele kwa kasi; kwa sababu sisi tunatakiwa kuigiza tu, jinsi ya kutumia yaliyokwishavumbuliwa na wenzetu ili yatuletee maendeleo haraka.
Hatuna haja tena ya kufanya uvumbuzi mpya wa haya mambo.

Kama ni laana, laana yetu ipo hapo: kushindwa kutumia njia zilizopo tayari ili twende haraka mbele.
kazi bado ipo.
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Mkuu tuwe wapole na tuendelee kumuomba mungu, hili janga liishie mbali , hao wenzetu wana zaidi ya miezi minne toka corona imetinga huko, sisi nadhani ni mwezi mmoja na nusu toka corona imeingia, chamsingi ni kuzidi kumuomba mungu tu, isilete madhara wanayotuombea wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiacha mkumbo na akili ndogo

Mtaani kwenu wewe kuna vifo vingapi vya kudhani ni corona, mtaani kwako wewe, sio mitandaonj
Mimi naongelea njia za kisayansi wewe unaniletea story za mtaani kwetu.

No wonder kwny ile thread nyingine mmesema sababu hakuna vifo vya bodaboda mtaani kwenu basi Covid haipo.

Ndio think tanker wetu hao.
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Siyo fair hata kidogo kulinganisha data za sehemu hizo mbili, hizi data za kina umy mwalimu siyo za kutegemewa.
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Halafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
Braza watu wanapukutika.. Watu wanaondoka ujue.. Watu wanakwisha.. Ni aibu kujipongeza kwa kuficha uvundo

Jr[emoji769]
 
Omba Mungu mkuu iendelee ivo ivo kwan tarehe huwa hazigandi
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani mpk 08/may/2020 imeshapima watu 8.3mil,hebu tuwekee hapa Bongo pekee yake so far imepima watu wangapi ili tujumlishe na nchi zilizobaki za Africa mkuu.
marekani population ni 150million wamepima 8 million maana yake wamepima kama 5% tu. Ila katika 8 m cases ni 1.3millio. Ambayo ni kma 18% wameathrika.

Tz, wamepima watu watu chini ya 1000. Waathrika jumla mpaka sasa ni 509. Maana yake 50% wameathrika. Na pupulation ya tz ni 50m. Wanepimwa 1k, mana yake wamepima 0.002% tu.

Sasa endeleeni na upumbavu wenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muongo wewe, ss na usa tmetofautiana chini mwez ivi.

nadhan la muhimu Mungu tu atupiganie, na si zaidi
Mkuu tuwe wapole na tuendelee kumuomba mungu, hili janga liishie mbali , hao wenzetu wana zaidi ya miezi minne toka corona imetinga huko, sisi nadhani ni mwezi mmoja na nusu toka corona imeingia, chamsingi ni kuzidi kumuomba mungu tu, isilete madhara wanayotuombea wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
Kuhusu kutoa data za afrika kwa ujumla si kweli pana link inatoa nchi moja baada ya nyingine nimetoka kuitizama muda mchache ulopita. Kifupi pamoja na changamoto zetu za upimaji ila bado vifo afrika si vingi kihivyo labda bado hatujafika penye peak ya ugonjwa au pengine tunalindwa na hali halisi ya bara letu hilo ni jambo la kushukuru na pia kujikita katika tahadhari kama tunavyo shauriwa na wataalamu wa afya
 
Back
Top Bottom