mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Hapana haiui ni kaugonjwa kadogo sana.Covid inaua sio?
Wagonjwa wako wengi kama unavyosema
Vifo navyo ni vingi sio? Au? Kwenu una uthibitisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana haiui ni kaugonjwa kadogo sana.Covid inaua sio?
Wagonjwa wako wengi kama unavyosema
Vifo navyo ni vingi sio? Au? Kwenu una uthibitisho?
Mbona unachanganyikiwa.Covid inaua
Wewe kalamu mtaani kwenu wamekufa wangapi? miezi hii miwili, 5,6,8,11?? Au?
Sampling estimation ya feedbacks kutoka kwa wana mtandao gives situation ikoje
Mara ngapi tunapiga poll humu? Au ukiingia netflix ni mara ngapi unaona goofle user wameipenda by 90%
Kama humu watu 40 tu wakaweka kila mmoja kashuhudia au kasikia mtaani kwake wamekufa watu zaidi ya 3 na imekuwa abnormal nayo itakupa picha ni hali ikoje
Swali dogo umelitafutia maelezo meengi ili kulikwepa tuLOoo, haya basi, "akili ndogo" ya mtandaoni, huku mwenyekuulizwa atoe takwimu za kijijini kwao yupo kwenye mtandao! Bila shaka naye akiwa "akili ndogo"!
Tuanze kwa kuhesabu kuna mitaa mingapi Tanzania. Tutafute watu wa kutoa taarifa kila mtaa pametokea vifo vingapi katika wakati maalum.
Na ili tuweze kupata taarifa hizi ni lazima tutafute ruhusa toka ofisi kadhaa za serikali.
Ndio maana watu wenye akili kubwa hawapo mitandaoni!
Kila mtu angejibu hivi natumai tusinge subili taalifa zaoMimi nipo hapa Nizhny Novgorod - Russia,lakini nina watu 7 ninaowajua huko nyumbani waliokufa kwa "changamoto ya upumuaji". Wanne ni majirani zangu Dodoma,Dar na KLM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaona ni kulikwepa kwa sababu huelewi kilichoandikwa au ndivyo akili yako ilivyosukwa kuamini.Swali dogo umelitafutia maelezo meengi ili kulikwepa tu
Mtaani kwetu alikufa mmoja mwezi na zaidi sasa hamna tukio lingine