Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Sio wazungu tu hata vibaraka wao, mfano Chadema, Zitto, Fatma Karume na Maria Sarungi wanaombea sana Watanzania wafe (utafikiri wao hawatakufa).
 
Sisi tunaoshabikia marekani kuliko hata wazazk wetu hapa hatuwez kukuelewa hata iweje?

Sent using kidole gumba
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Tatizo letu takwimu hazijakaa sawa.hatujui wanaoumwa ni wangapi, waliopona wangapi na waliokufa wangapi.na haitangazwi.
 
Sasa kwani Tz mnafanya Mass testing kama USA yaani hapa Africa hakuna , nchi inayofanya mass testing...pia Africa pamoja nakutofanya mass testing , bd wanaficha vifo na wagonjwa wa corona.
 
Halafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
Nchi yako inatoa data au unashupalia nchi zingine,na huku humu ndani ambulance zinapishana kila dakika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
Kwa Tanzania pekee vifo vya Corona vinapindukia 300 mpaka sasa. Yani hii Corona inatofautisha kati ya vijitaifa vya kisanii dhidi ya nchi zilizoundwa zikawa nchi kweli.
 
Maambukizi ya muda wote ya corona ya Afrika mpaka sasa ni sawa na maambukizi ya siku tatu tu ya Amerika. Pia vifo vya muda wote vya Afrika vya corona ni vichache kuliko vifo vya Wamarekani vya siku mbili tu!! Halafu bado watu wanaaminishwa kuwa Afrika tutakufa sana!!! Hatufi labda wafe wao!! Wazungu wanasubiri kwa shauku sana kuona vifo vingi vya corona vinatokea Afrika! Watasubiri sana!!!!
ACha kuwa mjinga

Africa wamempima nani?
Africa hampimi.naficha data

Never ever usijifananishe na marekani
 
Basi kama ni kweli Afrika nzima inaficha takwimu,basi tukubali hakuna bara lenye bahati mbaya kuzaliwa kama Afrika,au siyo ?
Inawezekana si nchi zote zinaficha takwimu ila tuko nyuma sana kwenye kiwango cha wanaopimwa. Inawezekana tatizo likawa kubwa kuliko inavyoripotiwa, wenzetu hata mafua wanakimbilia hospitali, sisi mafua ni kawaida mpaka unazidiwa unafia nyumbani au unapelekwa hospitali ukiwa umechelewa.
 
Mimi naongelea njia za kisayansi wewe unaniletea story za mtaani kwetu.

No wonder kwny ile thread nyingine mmesema sababu hakuna vifo vya bodaboda mtaani kwenu basi Covid haipo.

Ndio think tanker wetu hao.

Covid inaua sio?

Wagonjwa wako wengi kama unavyosema

Vifo navyo ni vingi sio? Au? Kwenu una uthibitisho?
 
Siyo fair hata kidogo kulinganisha data za sehemu hizo mbili, hizi data za kina umy mwalimu siyo za kutegemewa.
Sisi hatupimi, madereva 18 waliotoka Dar es Salaam wamekutwa na Corona Zambia. Hiyo ni sample kubwa sana ya tatizo tulillo nalo. Watakuwa wamewaambukiza wangapi kwa takribani Kilometa 1000 na zaidi toka Dar es Salaam? Hatuna data then tunajilinganisha na wenzetu na muda tangu ugonjwa uingie hatufanani nao.
 
LOoo, haya basi, "akili ndogo" ya mtandaoni, huku mwenyekuulizwa atoe takwimu za kijijini kwao yupo kwenye mtandao! Bila shaka naye akiwa "akili ndogo"!

Tuanze kwa kuhesabu kuna mitaa mingapi Tanzania. Tutafute watu wa kutoa taarifa kila mtaa pametokea vifo vingapi katika wakati maalum.
Na ili tuweze kupata taarifa hizi ni lazima tutafute ruhusa toka ofisi kadhaa za serikali.

Ndio maana watu wenye akili kubwa hawapo mitandaoni!

Covid inaua

Wewe kalamu mtaani kwenu wamekufa wangapi? miezi hii miwili, 5,6,8,11?? Au?

Sampling estimation ya feedbacks kutoka kwa wana mtandao gives situation ikoje

Mara ngapi tunapiga poll humu? Au ukiingia netflix ni mara ngapi unaona goofle user wameipenda by 90%

Kama humu watu 40 tu wakaweka kila mmoja kashuhudia au kasikia mtaani kwake wamekufa watu zaidi ya 3 na imekuwa abnormal nayo itakupa picha ni hali ikoje
 
Hivi kuna mtu ameona picha au videos za hao wagonjwa au wanaokufa huko Marekani kama tulivyokuwa tunaona za huko China, Italy, Spain, Equador, n.k??[emoji2369][emoji2369] Kama yupo atujuze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani mpk 08/may/2020 imeshapima watu 8.3mil,hebu tuwekee hapa Bongo pekee yake so far imepima watu wangapi ili tujumlishe na nchi zilizobaki za Africa mkuu.

Kuhusu kupima ni kweli inawezekana wagonjwa ni wengi Afrika kuliko tunavyojua kwa sababu hatupimi watu wengi. Lakini kuhusu idadi ya wanaokufa si dhani kama ni wengi kama huko kwa wenzetu Marekanina Ulaya. Waafrika sio rahisi kuficha vifo. Kifo ni tukio muhimu la kiutamaduni na kiimani, hata kama serikali ziwe na nguvu kiasi gani, haziwezi kuficha vifo tena kwa muda mrefu na kwa kila nchi. Inawezekana kabisa kuficha baadhi ya vifo huko Marekani na Ulaya kuliko Afrika. Pengine tusubiri muda usogee kidogo ndio tutapata picha pana kuhusu vifo vya COVID-19 Afrika.
 
Halafu wazungu wa ajabu sana, wakizungumzia corona kwa Afrika wanatoa data za Afrika nzima badsla ya nchi moja moja maana wanaona wivu na aibu kuwa maambukizi kwa nchi moja moja na vifo viko chini sana kinyume na matazamio yao!!
hata marekani ni bara zima si nchi moja moja. usawa wa marekani, Russia nk ni mwendo wa bara zima sio huku Rwanda na Burundi nazo ni nchi wakati zilitakiwa kuwa mkoa mmoja tu wa Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maajabu zaidi Tanzania wanaokufa kwa COVID-19 tunaopata taarifa zao kwenye habari ni "WAFANYAKAZI WA UMMA, NGAZI ZA JUU TU".

Wana wana habari wana misamiati yao hivi ameizing ya kufikisha ujumbe, kama vile "AMEUGUA KWA MUDA MFUPI" au "ALIBANWA NA KIFUA CHA GHAFLA TU". Raia tunajua "ENHE KUMEKUCHA".
Alikuwa na matatizo ya moyo pumzi zikabana akafa atazikwa na watu wasiozidi kumi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom