Walitaka pika Data ikashindikana.BREAKING: Mkoa wa Hubei nchini China umetangaza vifo vipya 242 kutokana na virusi vya Corona.
Visa vipya 14,840 vimeripotiwa mkoani humo.
Wako milioni 56.sasa huku mazishi yapoje? Ikiwa kila baada ya masaa 12 angalau vifo 60 vinafokea? Kuna nyumba haijafikwa na janga hilo? Mji mzima si kilio tupu?
Naamini serikali ya china inaficha ukweli.UPDATE: Idadi ya waliokufa kutokana na virusi hivyo mpaka sasa imefikia 1355.
Idadi hiyo ni kwa mujibu wa ripoti rasmi.
Kuna mtoto wa siku 1 kaambukizwa.Nasikia waathirika asilimia Zaid ya 70 n watu kuanzia miaka 40 kuendelea, Zaid ya 75% ya vifo n juu ya miaka 60%..watoto hawajaguswa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia waathirika asilimia Zaid ya 70 n watu kuanzia miaka 40 kuendelea, Zaid ya 75% ya vifo n juu ya miaka 60%..watoto hawajaguswa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji22][emoji22][emoji848][emoji848]Leo ndo wameanza toa taarifa za ukweli....
Wanasema namba imeongezeka kwani wanatumia CT Scan kwa sasa maana zile Testing kIT haifanyi kazi kwa ufasaha.
Tutegemee kesho yatakuwa makubwa na hivyo wale ndugu zetu walio kwenye huo mji twawapa pole kwao maana hawatarudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hamripoti waliougua na kupona?
Hii mbona ilitangazwa siku hiyohiyo, wewe tu huna taarifa/ hufuatilii
Watoto wapo pia.Nasikia waathirika asilimia Zaid ya 70 n watu kuanzia miaka 40 kuendelea, Zaid ya 75% ya vifo n juu ya miaka 60%..watoto hawajaguswa kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app