Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Visa vipya 88 vimeripotiwa katika meli hiyo iliyopo chini ya uangalizi maalumu katika bandari ya Yokohama nchini Japan.

Idadi ya watu wote waliobainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 katika meli hiyo imeongezeka mpaka kufikia 542.

View attachment 1361775
Nasikitika sana Mungu awatazame watu wa hapa sometime inakuwa kama ndoto au movie lakini ukijifinya unaona kweli ..Mungu atuhurumie na kutuponya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BREAKING: Visa vipya 1,693 pamoja na vifo vipya 132 vimeripotiwa Hubei nchini China
 
UPDATE: Ongezeko la visa vipya 1,693 limepelekea idadi ya visa vyote kupindukia 75,000 huku idadi ya vifo vyote ikifikia 2,007.
 
NEWS ALERT: There are currently 75,132 confirmed cases of coronavirus (2019-nCoV, officially known as SARS-CoV-2 or COVID-19) worldwide, including 2,007 fatalities.
 
UPDATE: Hubei Province (including Wuhan)
  • 61,682 cases
  • 1,922 deaths
  • 9,289 in serious condition
  • 1,957 in critical condition
 
UPDATE: U.S. CDC says people who remain on the Diamond Princess cruise ship in Japan are not allowed to return to the U.S. for at least 14 days.

1582070752450.png
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 75,129 cases worldwide
  • 6,242 suspected cases
  • 2,007 fatalities
  • 12,017 in serious/critical condition
  • 13,818 recovered
  • Most cases in China
  • 26 countries reporting cases

More updates to come!
 
UPDATE: Wizara ya afya nchini China imetangaza visa vipya 48 pamoja na vifo vipya viwili (2) nje ya mkoa wa Hubei.
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti visa vipya 15 nchini humo huku idadi ya visa vyote nje ya China ikipindukia 1000.

South Korea confirms 15 new cases of coronavirus
11 of the new cases in South Korea have been linked to the 31st case, according to health officials. The woman apparently infected 10 people at a church and another at a hospital where she went.
 
UPDATE: Hong Kong imeripoti kifo cha pili kutokana na virusi vya COVID-19.

Hong Kong reports 2nd death from coronavirus
The patient was a 70-year-old man. He was Hong Kong's 55th case of coronavirus. His condition deteriorated and he died this morning. [RTHK]
 
UPDATE: Meli ya Diamond Princess

Watu takribani 500 waliokuwa katika meli hiyo iliyopo katika uangalizi maalumu nchini Japan wameruhusiwa kuondoka baada ya vipimo kuonesha kuwa hawana maambukizi ya COVID-19 na kukamilisha siku 14 za karantini.

1582078965072.png
 
UPDATE: Wagonjwa wa COVID-19 wapatao wanne (4) nchini Korea Kusini wanatarajiwa kuruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kuripotiwa kupata ahueni. [Korea Herald]

South Korea set to releases 4 more fully recovered coronavirus patients from hospitals.
 
Sifaham mkuu,nilikuwa bz kidogo ila nilipepesa macho humu ndani M&G hall nikawaona they were just walking around na mask zao sema pale ukipiga picha ovyo ovyo unaweza ukajuta.

Nadhani serikali inachukua hatua kudhibiti kwa namna flani.
Hivi wanapimwa kweli huko kwenye arrival area hapo airport?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaunga mkono russia kwa hatuahiyo.
Nasisi ikiwezekana tu zuie kwamuda, ili kuzuia maambukizi.

Africa tunahitaji hatua kama hii ilikujinusuru kwa kuwa uwezowetu wa kupambana na majanga kama haya sio mkubwa kivile.

Otherwise MUNGU atunusuru hao virus wasiweze kumudu kuishi kwenye mazingira ya kibongo kama inavyo semekana.
UPDATE: Russia bans Chinese citizens from entering the country due to coronavirus. [Interfax]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom