Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Nasikia wao wanafanya maamuzi magumu ya kuua mtu yeyote atakaebainika kuwa na virus hao!
Kivipi, kwani virusi navyo vinaweza ku-beep.Ndio maana ikaitwa Corona ambayo husimamia coronary artery.
Kuna uwezekano kaugonjwa kako on trial
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika sana Mungu awatazame watu wa hapa sometime inakuwa kama ndoto au movie lakini ukijifinya unaona kweli ..Mungu atuhurumie na kutuponyaUPDATE: Meli ya Diamond Princess
Visa vipya 88 vimeripotiwa katika meli hiyo iliyopo chini ya uangalizi maalumu katika bandari ya Yokohama nchini Japan.
Idadi ya watu wote waliobainika kuwa na maambukizi ya COVID-19 katika meli hiyo imeongezeka mpaka kufikia 542.
View attachment 1361775
UPDATE: Russia bans Chinese citizens from entering the country due to coronavirus. [Interfax]