FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #621
Hii kasi ya South Korea ni hatari sana!
Kuna mwanangu yuko Daejon sijui itajuwajeHali ni tete!
Yani tuombe mungu ngoma ikifika kipawa tu mtu akapanda nao kwenye Eicher tumekwisha!Duuuuu. Ikiingia kwenye hizi nchi zenye weak healthy system twafa wote
Sent using Jamii Forums mobile app
Atawanusuruje msipokuwa makini na kulinda mipaka? Kwa uzembe wa TZ pale JNIA sipati pichaMungu atunusulu Africa
Atawanusuruje msipokuwa makini na kulinda mipaka? Kwa uzembe wa TZ pale JNIA sipati picha
Mtaanza kunyooka nyie hapo kaziniNa sijui itakuaje,maana hata kazi tutakuwa hatufanyi..
MUNGU asaidie usifike,au usituathiri ukifika
Sent using Jamii Forums mobile app