Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

NEWS ALERT: Iraq bans border crossings by Iranian nationals for at least 3 days due to coronavirus. [Reuters]
 
BREAKING: Vifo vipya 115 vimeripotiwa Hubei nchini China huku visa vipya 411 vikiripotiwa mkoani humo.
 
UPDATE: Idadi ya visa vyote ulimwenguni imefikia 76,188 hadi sasa huku watu wapatao 2,245 wakipoteza maisha.

Wagonjwa takribani 11,728 wako mahututi huku wagonjwa wapatao 15,827 wakipata nafuu.
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 76,188 cases worldwide
  • 5,248 suspected cases
  • 2,245 fatalities
  • 11,728 in serious/critical condition
  • 15,827 recovered
  • Most cases in China
  • Growing number in South Korea
  • 27 countries reporting cases
More updates to come!
 
UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 7 vimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya visa 111 hadi sasa.
 
UPDATE: Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa barani Ulaya, nchini Italia karibu na mji wa Milan.
 
UPDATE: Kisa kipya kimoja (1) kimeripotiwa nchini Marekani katika jimbo la California.

Mpaka sasa idadi ya visa vyote nchini Marekani imefikia 16.
 
UPDATE: China

Visa kadhaa vimeripotiwa katika magereza mawili. Moja katika mkoa wa Zhejiang ambapo visa takribani 34 vimeripotiwa katika gereza hilo.

Gereza jingine ni katika mkoa wa Shandong ambapo visa 207 vimeripotiwa katika gereza hilo.
 
UPDATE: South Korea

Seoul announces new measures: major rallies are banned, more than 3,000 social welfare facilities are closed, and so are branches of the church at the center of the Daegu outbreak. [Yonhap]
 
Back
Top Bottom