FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #661
UPDATE: Visa vipya barani Ulaya
Italia imeripoti ongezeko jingine la visa vinane (8) nchini humo vya COVID-19. Mpaka sasa visa vipya 14 vimebainika ndani ya siku ya leo nchini humo kwa saa za Italia huku idadi ya visa vyote ikifikia 17.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hao jamaa toka nilivyoona wanapika mbwa mzimamzima na bichwa lake na kisha kumpasua kati na kuchota supu ya ndafu ya mbwa na kuifanya sehemu muhimu ya mlo wao na vile ilivyo nyeusi.! walinichefua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukakuta wamepika supu ya utumbo wa mnyama gani sijui kumbe supu ya utumbo wa popo, hatari sana!!Hao jamaa toka nilivyoona wanapika mbwa mzimamzima na bichwa lake na kisha kumpasua kati na kuchota supu ya ndafu ya mbwa na kuifanya sehemu muhimu ya mlo wao na vile ilivyo nyeusi.! walinichefua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Taharuki imeibuka huko Kisumu Kenya baada ya raia mmoja wa China kulazwa katika hospitali ya Aga Khan mjini hapo akiwa na dalili za coronavirus.
Imeelezwa aliwasili Kenya Februari 13 akitokea China. Majibu ya sampuli za mgonjwa huyo yanatarajiwa kutoka ndani ya saa 48 zijazo. [Swahili Times]
Kama atakuwa na Corona, TUMEKWISHAAA!!!UPDATE: Taharuki imeibuka huko Kisumu Kenya baada ya raia mmoja wa China kulazwa katika hospitali ya Aga Khan mjini hapo akiwa na dalili za coronavirus.
Imeelezwa aliwasili Kenya Februari 13
akitokea China. Majibu ya sampuli za mgonjwa huyo yanatarajiwa kutoka ndani ya saa 48 zijazo. [Swahili Times]
Mpaka sasa wamekwishafika 346.Walikosea mtu 1 kawaambukiza. Kesho wataongezeka maana kuna watu 400 wana dalili
Sent using Jamii Forums mobile app