Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Visa vipya barani Ulaya

Italia imeripoti ongezeko jingine la visa vinane (8) nchini humo vya COVID-19. Mpaka sasa visa vipya 14 vimebainika ndani ya siku ya leo nchini humo kwa saa za Italia huku idadi ya visa vyote ikifikia 17.
 
NEWS ALERT: US health officials prepare for coronavirus outbreak to become pandemic

The Centers for Disease Control and Prevention is holding a briefing Friday on the COVID-19 coronavirus, which has killed at least 2,249 people and sickened more than 76,700 worldwide, including in the U.S.

While a majority of cases are in China with just 15 confirmed in the U.S. the CDC has been working with the health-care sector to prepare for the virus to “take a foothold in the U.S,” Dr. Nancy Messonnier, director of the CDC’s National Center for Immunization and Respiratory Diseases, told reporters Feb. 12. [CNBC]
 
FAHAMU: Korea Kusini ni nchi ya pili baada ya China kuwa na visa vingi zaidi vya virusi vya Corona ulimwenguni.

Mpaka hivi sasa visa takribani 204 vimebainika nchini Korea Kusini huku vikiripotiwa vifo viwili (2) nchini humo kutokana na COVID-19.
 
Coronavirus so far:
  • 77,248 confirmed cases worldwide
  • 2,250 fatalities worldwide
 
Hao jamaa toka nilivyoona wanapika mbwa mzimamzima na bichwa lake na kisha kumpasua kati na kuchota supu ya ndafu ya mbwa na kuifanya sehemu muhimu ya mlo wao na vile ilivyo nyeusi.! walinichefua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukakuta wamepika supu ya utumbo wa mnyama gani sijui kumbe supu ya utumbo wa popo, hatari sana!!

Magonjwa mapya yanaibuka!!

Kumla popo kweli!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Taharuki imeibuka huko Kisumu Kenya baada ya raia mmoja wa China kulazwa katika hospitali ya Aga Khan mjini hapo akiwa na dalili za coronavirus.

Imeelezwa aliwasili Kenya Februari 13 akitokea China. Majibu ya sampuli za mgonjwa huyo yanatarajiwa kutoka ndani ya saa 48 zijazo. [Swahili Times]
 
,Dah!!!
UPDATE: Taharuki imeibuka huko Kisumu Kenya baada ya raia mmoja wa China kulazwa katika hospitali ya Aga Khan mjini hapo akiwa na dalili za coronavirus.

Imeelezwa aliwasili Kenya Februari 13 akitokea China. Majibu ya sampuli za mgonjwa huyo yanatarajiwa kutoka ndani ya saa 48 zijazo. [Swahili Times]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Taharuki imeibuka huko Kisumu Kenya baada ya raia mmoja wa China kulazwa katika hospitali ya Aga Khan mjini hapo akiwa na dalili za coronavirus.

Imeelezwa aliwasili Kenya Februari 13
akitokea China. Majibu ya sampuli za mgonjwa huyo yanatarajiwa kutoka ndani ya saa 48 zijazo. [Swahili Times]
Kama atakuwa na Corona, TUMEKWISHAAA!!!
 
UPDATE: Kifo cha kwanza nchini Italia

Italia imeripoti kifo cha kwanza kilichosababishwa na virusi vya Corona, mwanamume aliyekuwa na miaka 77 kutoka Monselice, kaskazini mwa Italia.
 
Mpaka sasa ni zaidi ya saa mbili zimepita lakini bado Hubei haijatoa ripoti yake ya siku.

Tuendelee kusubiri!
 
BREAKING: Wizara ya afya ya China imeripoti vifo vipya 109 pamoja na visa vipya 397 nchini humo.

Takwimu hizo ni pamoja na mkoa wa Hubei.
 
UPDATE: Hubei pekee, vimeripotiwa visa 366 pamoja na vifo vipya 106.
 
UPDATE: Italia

Kisa kingine kimoja (1) kimeripotiwa nchini humo.

Ndani ya saa 24 zilizopita, Italia imeripoti jumla ya visa vipya 18.

Mpaka hivi sasa idadi ya visa vyote nchini humo imefikia 21.
 
UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya takribani 142 vimeripotiwa nchini humo na kufikisha jumla ya visa 346.

South Korea reports 142 new cases of coronavirus, raising country's total to 346
This includes:
  • 92 new cases linked to hospital
  • 38 new cases linked to church
  • 12 new cases unknown
 
UPDATE: CORONAVIRUS
  • 77,812 cases worldwide
  • 10,846 being tested
  • 2,360 fatalities
  • 11,529 in serious/critical condition
  • 20,867 recovered
  • Most cases in China
  • Growing number in South Korea
  • 29 countries reporting cases
More updates to come!
 
UPDATE: Hubei Province (including Wuhan)
  • 63,454 cases so far
  • 2,250 deaths
  • 10,892 in serious condition
 
Back
Top Bottom