Na bora hivi virusi vinajitokeza kwa watu wanaojitambua.China kujenga hospitali kwa siku sita mjini Wuhan itakayoweza kulaza watu 1000. Hii itakuwa record mpya ya dunia baada ya ile kujenga hospitali ndani ya siku Saba kupambana na kirusi SAR
na sisi tuna air Tanzania na watanzania wengi tu China serikali kwanini isifabye juhudi za kuokoa ndugu zetu huko mpaka sasa sijasikia tamko lolote toka wizara ya mambo ya nje ni kama vile hawajui wanataka niniMarekani inajiandaa kwenda kuwahamisha kwa ndege raia wake waliopo nchini China hususani katika mji wa Wuhan huku pia ikitoa tahadhari kwa raia kutosafiri kuelekea nchini China kwa sasa.
Nchi nyinginezo zinazopanga kuwahamisha raia wake kutoka maeneo yaliyoathiriwa nchini China ni pamoja na Japan na Ufaransa. [AP]
Wachina wajanja sana wanaongeza namba kwa 20 tu kila siku. Ila wagonjwa wana double kila sikuHapo awali, Meya wa Wuhan, sehemu ambapo kirusi hiki kilianzia, alisema kuwa takribani watu milioni 5 wamekwisha ondoka mjini hapo licha ya zuio la kusafiri lililowekwa.
Hivyo, kuna uwezekano mkubwa wa kuenea zaidi kwa maambukizi sehemu nyinginezo iwapo kama kulikuwepo na walioambukizwa kati ya hao walioondoka mjini hapo.
Vifo lazima vitaongezeka maana kuna watu wanaumwa ila hawajui wanaumwaHali si nzuri!
Kuna ripoti mbalimbali na taarifa za visa vipya zinatolewa kutoka mikoa mbalimbali nchini China jambo litakalopelekea mamia ya visa vipya hapo baadaye ripoti ya kitaifa itakapotoka.
Tuendelee kusubiri.
Amen!! ..🙏🙏
[emoji121]ni wazo baya kabisa.na sisi tuna air Tanzania na watanzania wengi tu China serikali kwanini isifabye juhudi za kuokoa ndugu zetu huko mpaka sasa sijasikia tamko lolote toka wizara ya mambo ya nje ni kama vile hawajui wanataka nini
Aliyekuambia Tanzania kuna serikali inayojali watu ni nani?na sisi tuna air Tanzania na watanzania wengi tu China serikali kwanini isifabye juhudi za kuokoa ndugu zetu huko mpaka sasa sijasikia tamko lolote toka wizara ya mambo ya nje ni kama vile hawajui wanataka nini
Wamarekani wanapenda sana saidia wenzaoKampuni kubwa za Kimarekani kama vile Dell na Microsoft zimejitokeza kutoa michango na misaada ikiwemo ya kifedha ili kuweza kusaidia kukabiliana na janga hili.
====
UPDATE: Big US companies are stepping in to help after Beijing encouraged assistance from corporate America to help it cope with the coronavirus crisis.
Microsoft, Dell make donations to fight China coronavirus outbreak. The companies have pledged millions to support relief efforts for deadly epidemic. [Financial Times]
A Passenger aboard a Kenya Airways plane from Guangzhou, China to Nairobi suspected to be infected with Novel Corona Virus has been quarantined at the Kenyatta National Hospital awaiting further screening according to a statement from Kenya Airways.
Huu ugomjwa INA maana unaambukizwa kwa hewa !? Maana umekuja kwa kasi.MPYA: Ufaransa imethibitisha kisa cha nne (4) cha virusi vya Corona nchini humo.