FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,101
UPDATE: Africa
Chinese Airplane land in Kenya with suspected cases of Coronavirus
Kenya's Ministry of Health has advised all 239 passengers aboard China Southern Airlines that landed today at Jomo Kenyatta International Airport to self-quarantine for 14 days.
View attachment 1369686
Aga Khan hadi hukoDetails appear of the first coronavirus patient in Pakistan.
Patient 22 year old Male. Had fever and headache in the initial stages of the epidemic. Travelled to Iran with 28 others and was admitted 6 days after returning from Iran.
UPDATE: Kisa cha kwanza kimeripotiwa nchini Romania.
Hapo awali, Wizara ya mambo ya ndani ya nchi hiyo ilikanusha vikali kuhusu uwepo wa visa vya COVID-19 vilivyothibitika nchini humo.
Nimejaribu kutafakari nimekosa majibu kwann wakenya wanataka kuhatarisha maisha yetu jamani hv umoja wa east africa hawaliona hili auHuu ndo upuuzi sasa. KENYA INAPOKEA WACHINA WENGI hvyo bila sababu ya msingi. Wakati ikijua uwezo wa kuwaudumia hawana
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Italia
Kasi ya maambukizi yazidi kuongezeka. Visa vipya 52 vimeripotiwa hivi punde na kufikia jumla ya visa 451 nchini humo hadi sasa.
NB: Visa viwili vimeondolewa katika takwimu kutokana na majibu ya vipimo vya awali kutokuwa sahihi.
Mkuu kama umekusudia uwepo wa hospital ya Agakhan Ile Ipo Sehemu Nyingi Zadunia Kama Sio Zote(Kila Taifa Duniani)
Omba ushahidi wa ripoti hizi.