Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Details appear of the first coronavirus patient in Pakistan.

Patient 22 year old Male. Had fever and headache in the initial stages of the epidemic. Travelled to Iran with 28 others and was admitted 6 days after returning from Iran.

1582746499663.png
 
UPDATE: Africa

Chinese Airplane land in Kenya with suspected cases of Coronavirus


Kenya's Ministry of Health has advised all 239 passengers aboard China Southern Airlines that landed today at Jomo Kenyatta International Airport to self-quarantine for 14 days.

View attachment 1369686

Sasa hawa wanakuja kutafuta nini huku mbona wanatuletea balaa hawa?
Kenya wawarudishe kwao sie hatuna uwezo wa kupambana na Coronavirus.
Africa tufunge mipaka kwa muda na China hawana Jema nasi,
Hivi mtu ukipata tatizo una kimbilia kwenu au kwa Jirani?
 
NEWS ALERT: Iraq closes all schools and universities for at least 10 days to prevent the spread of coronavirus. [NRT]
 
NEWS ALERT: Singapore strips man of his status as a permanent resident after breaking his requirement to stay at home after traveling from China; he has also been barred from re-entering the country. [ICA]
 
NEWS ALERT: Germany's health minister says the country is at the start of an epidemic, urges local officials to prepare for a pandemic. [Welt]
 
UPDATE: Uswidi imeripoti kisa kipya cha COVID-19, kisa cha pili kuripotiwa nchini humo huku pia nchi jirani ya Norway ikiripoti kisa chake cha kwanza nchini humo.
 
UPDATE: Italia

Visa vipya 27 vimeripotiwa na kufikia jumla ya visa 401 nchini humo huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.
 
UPDATE: Kisa cha kwanza kimeripotiwa nchini Romania.

Hapo awali, Wizara ya mambo ya ndani ya nchi hiyo ilikanusha vikali kuhusu uwepo wa visa vya COVID-19 vilivyothibitika nchini humo.
 
Bahrain mpaka hivi sasa imeripoti visa 33. Idadi ya watu (population) ya Bahrain ni takribani milioni 1 na nusu tu.

Indonesia yenye jumla ya raia takribani milioni 270 haijaripoti kisa chochote kile cha COVID-19.

Kunani?
 
NEWS ALERT: Russian Foreign Ministry warns citizens against visiting South Korea, Iran, Italy. [Sputnik]
 
UPDATE: Italia

Kasi ya maambukizi yazidi kuongezeka. Visa vipya 52 vimeripotiwa hivi punde na kufikia jumla ya visa 451 nchini humo hadi sasa.

NB: Visa viwili vimeondolewa katika takwimu kutokana na majibu ya vipimo vya awali kutokuwa sahihi.
 
Una moyo sana kijana
Watu kama nyie mnafaa sana kuwa viongozi ila cha ajabu viongozi wanakuwa watu wa ajabuajabu
Ningekuwa Magufuli uongozi nakupa fasta maana una juhudi za kipekee
UPDATE: Italia

Kasi ya maambukizi yazidi kuongezeka. Visa vipya 52 vimeripotiwa hivi punde na kufikia jumla ya visa 451 nchini humo hadi sasa.

NB: Visa viwili vimeondolewa katika takwimu kutokana na majibu ya vipimo vya awali kutokuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom