FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
- #1,161
UPDATE: Uhispania
Visa vipya viwili (2) vimeripotiwa mjini Madrid. Imeelezwa kuwa, watu hao hawakuwahi kusafiri nje, kwa mujibu wa taarifa za awali.
Pia, kisa kipya (1) kimeripotiwa mjini Barcelona kikiwa ni kisa cha tatu hadi sasa kuripotiwa katika jimbo la Catalonia.