FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,060
- Thread starter
-
- #1,161
Aisee 😀North Korea
Serikali ya taifa hilo imeendeleza likizo ya shule zote ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.
Hadi sasa wagonjwa wa Corona hawajulikani walipo
Sent using Jamii Forums mobile app
North Korea

Hahahaha! Hii kali!!!North Korea
Serikali ya taifa hilo imeendeleza likizo ya shule zote ili kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.
Hadi sasa wagonjwa wa Corona hawajulikani walipo
Sent using Jamii Forums mobile app
UPDATE: Iran
- Vice President Masoumeh Ebtekar tested positive for virus, state media reports
- Friday prayers in Tehran and other cities canceled, news agencies say
- Entry by Chinese nationals banned
- 245+ cases confirmed with 26 deaths

Kuna taarifa nimeona leo pale kia wanasema wageni wa kichina wamekuwa wengi sana wanasema huko kwao ni muda wa likizo huu. Nimeshangaa sana kwa kweliTanzania inasubiri vifovya Corona vifike kama 200 ndiyo wataamka na kuwazuia Wachina.
Sijui hata kama vifaa vya kupimia vipo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafanya mzaa na hili janga ila ambacho hawakijui ni kwamba corona ikija Tanzania viongozi mbalimbali ambao ndiyo wanaruhusu huu uzembe kutokea ndiyo wataanza kufa!Kuna taarifa nimeona leo pale kia wanasema wageni wa kichina wamekuwa wengi sana wanasema huko kwao ni muda wa likizo huu. Nimeshangaa sana kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app