Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Acha tu,yani hadi mtu unatamani kupata uraia huko,wanajiali wananchi wao sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Raha sana kuwa raia wa Marekani. Hata ukilipa kodi unalipa kwa amani na ikitokea hujatoa hata roho itakuuma.
Sio huku kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app