Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: kifo cha pili kimeripotiwa nchini Korea Kusini.

Kifo hicho ni mwanamke aliyekuwa na miaka 54, aliyekuwa akitibiwa katika hospitali ambayo kifo cha kwanza kilitokea kabla ya yeye kuhamishiwa hospitali nyingine mjini Busan.
 
UPDATE: Israel imeripoti kisa cha kwanza (1) cha raia wake aliyehamishwa kutoka katika meli ya Diamond Princess nchini Japan.
 
UPDATE: Visa vipya vinazidi kuongezeka Korea Kusini

Visa vipya 48 vimeripotiwa nchini Korea Kusini. Mpaka sasa watu wapatao 204 wamethibitika kuwa na virusi vya COVID-19 nchi humo
 
UPDATE: Visa vipya barani Ulaya

Italia imeripoti visa vipya vitano (5) nchini humo. Mpaka sasa jumla ya visa 9 vimeripotiwa nchini humo.
 
UPDATE: Iran imeripoti visa vipya 13 huku vinne (4) kati ya hivyo ni kutoka mjini Tehran.

Mpaka sasa jumla ya visa 18 vimeripotiwa nchi humo pamoja na vifo vinne (4) kutokana na virusi vya COVID-19.
 
NEWS ALERT: Iran's health ministry:

"Based on existing reports, the spread of coronavirus started in Qom [and] has now reached several cities including Tehran, Babol, Arak, Isfahan, Rasht and other cities and it's possible that it exists in all cities in Iran" [Reuters]
 
NEWS ALERT: South Korea coronavirus cases doubled overnight to 204, making it the worst affected country outside China.

The government says it has "entered an emergency phase." Cases in Daegu jumped 1 to 150+ in days.

All 2.5M residents were told to stay inside and wear masks at home.
 
UPDATE: Lebanon imetangaza kisa cha kwanza (1).

Lebanon reports 1st case of coronavirus
Lebanon's first case of coronavirus is a woman who recently flew from Iran. [AlJadeed]
 
NEWS ALERT: 4-year-old girl falls to her death in Hong Kong after being left home alone over fears of coronavirus. [HK01]
 
NEWS ALERT: Turkey's health minister says all passengers arriving from Iran will face health checks, anyone with symptoms will be denied entry. [Anadolu]
 
UPDATE: Visa vipya viwili (2) vimeripotiwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).

Idadi ya visa vyote nchini humo imefikia 11 huku mgonjwa mmoja (1) akiwa mahututi.
 
Iran kama kasema wako 18 na imetembea nchi nzima kuna uwezekano wakaambukizwa wengi. Na pia nchini Iran vifo ni vingi kwa siku chache za maambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom