Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: South Korea

The defense ministry on Tuesday said it has temporarily shut down its pressroom and briefing room for anti-coronavirus disinfection work after a cameraman with a local news outlet was admitted to a hospital with symptoms of the virus.
 
BREAKING: Wizara ya afya ya China imeripoti visa vipya 508 pamoja na vifo vipya 71 nchini humo.
 
MPYA: Korea Kusini imeripoti visa vipya 60 nchini humo na kufikisha jumla ya visa 893 hadi hivi sasa.
 
UPDATE: South Korea will take maximum quarantine measures in Daegu and North Gyeongsang Province, according to Yonhap. Details will be released later today but officials say it's not a lockdown.
 
UPDATE: Shirika la habari la Japan NHK limeripoti kifo cha nne cha abiria aliyekuwemo katika meli ya Diamond Princess.

1582600579922.png
 
UPDATE: Korea Kusini imeripoti kifo kingine kimoja (1) kinachohusishwa na virusi vya COVID-19 nchini humo. Mpaka sasa idadi ya vifo vyote vilivyotokana na virusi hivyo nchini humo ni tisa (9) hadi sasa.
 
Science ya humans kama hufatilii haijafikia kama unavyodhani
How can you genetic engineer something with no DNA???
What humans are good at is spreading something thats already there
Ndo maana adi leo hamna dawa indipendent inayopigana na wadudu ata bacterias

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili yako ilipo ishia , unadhan dunia ndio iko hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NEWS ALERT: A 56-year-old woman in SW China's Sichuan Province was confirmed with novel coronavirus infection Monday. She tested negative eight times in nucleic acid diagnosis. [Global Times]

1582606343329.png
 
UPDATE: South Korea

A Korean Air cabin crew has tested positive for the coronavirus. The Incheon office has been closed for quarantine measures.

It is not known if the crew member had gotten infected onboard or from the community.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una mambo ya kitoto sana
Et vampire waliwahi kuwepo
Wacha watoto wa miaka 10 wazanie hivi ila sio wewe mtu mzima
Aliens ni wale pandikzi kutokana na Vampire, ikumbukwe kuwa Vampires wamewahi ku exist hapa duniani kwa baadhi ya nchi ila wametoweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa una mambo ya kitoto sana
Et vampire waliwahi kuwepo
Wacha watoto wa miaka 10 wazanie hivi ila sio wewe mtu mzima

Sent using Jamii Forums mobile app
Vampire hawajawai kuwepo ila kuna jamii zinatumia damu ya watu kama kilevi chao.
But alliens wapo na si story.kuna ushahidi hadi wa CCTV Camera tafuta U tube utawaona Mr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom