Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Kuna waliopona humo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaopona ni wengi.
Virusi hivi huwa na pande mbili:
A) virusi vyenyewe huuambukiza vibaya sehemu ndogo tu ya watu walioambukizwa. Hadi sasa inaonekana ni asilimia 2-3 waliokufa kati ya hao walioambukizwa, hasa watu wenye kinga dhaifu (kama wazee, watu waliogonjeka tayari). Walio wengi huwa na dalili nyepesi tu (kama mafuamafua kidogo), wengine hawaonyeshi dalili zozote.

B) Tabia hii ni hatari kwa sababu virusi hivi inaweza kuenea mbali sana kushinda vingine. Ingawa huua asilimia 2-3 pekee (linganisha Ebola: inaua % 60-70) watu wenye virusi wasio na dalili wanaweza kuwaambukiza wengine na hapa tunaona uenezaji mkubwa sana. Maana kwa takwimu hii, kama milioni 1 wameambukizwa, tunaweza kukadiria 20,000 - 30,000 watakaokufa. (asilimia 1 ya milioni ni 10 elfu).

Mfano wa kinyume ugonjwa wa Ebola: Imeanza pale Kongo. Kwa nii haikuenea zaidi? Kwa sababu ni ugonjwa mkali, dalili zinatokea haraka, inaua 2/3 za wagonjwa - ugonjwa kama huu hauendi mbali kwa sababu walioambukizwa wanaonekana mapema, au wanakufa haraka, tofauti na Korona ambako idadi kubwa ama hawana dalili za ugonjwa (lakini wanaambukiza) au dalili chache tu (wanafikiri eti mafua kidogo, naendelea kufanya kazi).
 
Wanaopona ni wengi.
Virusi hivi huwa na pande mbili:
A) virusi vyenyewe huuambukiza vibaya sehemu ndogo tu ya watu walioambukizwa. Hadi sasa inaonekana ni asilimia 2-3 waliokufa kati ya hao walioambukizwa, hasa watu wenye kinga dhaifu (kama wazee, watu waliogonjeka tayari). Walio wengi huwa na dalili nyepesi tu (kama mafuamafua kidogo), wengine hawaonyeshi dalili zozote.

B) Tabia hii ni hatari kwa sababu virusi hivi inaweza kuenea mbali sana kushinda vingine. Ingawa huua asilimia 2-3 pekee (linganisha Ebola: inaua % 60-70) watu wenye virusi wasio na dalili wanaweza kuwaambukiza wengine na hapa tunaona uenezaji mkubwa sana. Maana kwa takwimu hii, kama milioni 1 wameambukizwa, tunaweza kukadiria 20,000 - 30,000 watakaokufa. (asilimia 1 ya milioni ni 10 elfu).

Mfano wa kinyume ugonjwa wa Ebola: Imeanza pale Kongo. Kwa nii haikuenea zaidi? Kwa sababu ni ugonjwa mkali, dalili zinatokea haraka, inaua 2/3 za wagonjwa - ugonjwa kama huu hauendi mbali kwa sababu walioambukizwa wanaonekana mapema, au wanakufa haraka, tofauti na Korona ambako idadi kubwa ama hawana dalili za ugonjwa (lakini wanaambukiza) au dalili chache tu (wanaikiri et mfua kidogo, naendelea kufanya kazi).
Na kitu cha ajabu ni kwamba Virusi vya Ebola na Korona kwenye microscope vimeonekana lkn virusi vya UKIMWI hakuna hata mmoja aliyebahatika kuona huyo kirusi

Hii nini maana yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kitu cha ajabu ni kwamba Virusi vya Ebola na Korona kwenye microscope vimeonekana lkn virusi vya UKIMWI hakuna hata mmoja aliyebahatika kuona huyo kirusi

Hii nini maana yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yake si kweli. angalia hapa
Tovuti ya Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Kalifornia CALTECH, wamepiga picha vyake tangu 2004.
Halafu ona hapa
 
UPDATE: Iran imeripoti visa vipya 34 na vifo vipya vitatu (3) nchini humo. Mpaka sasa idadi ya visa vyote nchini humo imefikia 95 huku 15 wakipoteza maisha.
 
Iran wamegundua dawa na taari kuna mgonjwa mmoja ametibiwa amepona, hio pic apo wanashereheka kwa kufanikiwa kupona mgonjwa kwa hio dawa
Screenshot_20200225_124915.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran wamegundua dawa na taari kuna mgonjwa mmoja ametibiwa amepona, hio pic apo wanashereheka kwa kufanikiwa kupona mgonjwa kwa hio dawaView attachment 1368922

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba ni kweri hii au propaganda za mtandaoni yaan ndani ya wiki 1 tu wawe wamevumbua dawa wkt WHO jopo zima la madocta bingwa walokutana huko china tangu mwezi january mpk sasa tunaenda Apr kimya hata dawa ya kuleta nafuu hawajapata

Wacha tungojee zaidi ukweli zaidi utajulikanika zaidi japo naamini kwa asilimia 30 nikweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba ni kweri hii au propaganda za mtandaoni yaan ndani ya wiki 1 tu wawe wamevumbua dawa wkt WHO jopo zima la madocta bingwa walokutana huko china tangu mwezi january mpk sasa tunaenda Apr kimya hata dawa ya kuleta nafuu hawajapata

Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani hakukosekani suluhisho la matatizo, hiyo njia yao hao Wairan inaweza ikawa ni suluhisho kamili, shida western hawataki kuonekana kushindwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UPDATE: Austria imetangaza visa vya kwanza viwili (2) nchini humo huku pia nchi nyingine ya Croatia ikitangaza kisa chake cha kwanza cha COVID-19.
 
Yeah, Hao wairani ni wasomi sana, Pia wanatambulika kwa kutengeneza madawa mengi sana, wana wanasayansi wengi ambao wamebobea ktk kila nyanja
Mzee baba ni kweri hii au propaganda za mtandaoni yaan ndani ya wiki 1 tu wawe wamevumbua dawa wkt WHO jopo zima la madocta bingwa walokutana huko china tangu mwezi january mpk sasa tunaenda Apr kimya hata dawa ya kuleta nafuu hawajapata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MUUMBA Ajaalie Ikuwe Kweli Asee

Nitakua Kiumbe Mmoja Mwenye Furaha Mno ikiwa Watafanikiwa Kwahili Jambo Kwa 100%

Sent using Jamii Forums mobile app
yaan kwakweli huwezi zidi furaha yangu
mjomba maisha matamu asikwambie mtu
japo watu wanalalamika maisha magumu sjui nn lkn hakuna anayetamani kufa kizembe huku anajiona bora tu hiyo dawa ipatikane hofu ziondoke
nawaza sana mzee nina deal la mln 10 mwaka huu sasa nife mkuu wangu kabla halijatic hilo deal halafu wafaidi wengne noma mzee
hiyo dawa bora ipatikane tu
 
Back
Top Bottom