Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

UPDATE: Korea Kusini

Visa vipya 115 vimeripotiwa nchini humo na kufikia jumla ya visa 1,261 huku kukiwa na uwezekano wa visa vipya kuongezeka zaidi.

Ndani ya siku moja pekee, visa takribani 284 vimeripotiwa nchini humo.

Korea Kusini imesema, watu wapatao 20,716 wanafanyiwa vipimo huku wengi wao wakifanyiwa kama tahadhari.
 
UPDATE: Visa vipya 14 vimeripotiwa kutoka meli ya Diamond Princess hivyo kuongeza idadi ya visa mpaka kufikia 705 katika meli hiyo.
 
NEWS ALERT: Chinese doctor hailed as a hero after giving mouth-to-mouth resuscitation to collapsed stranger during coronavirus outbreak. [Daily Mail]

A Chinese doctor has been captured on camera performing mouth-to-mouth resuscitation to a fainted pensioner in a shop amid the epidemic of coronavirus.

The medic, Dr Luo Xianke, promptly took off his face mask to carry out the procedures after a man in his 80s suddenly had a heart attack in Zhengzhou, Henan Province of central China.

Dr Luo told the press he didn't think about the potential risk of catching coronavirus.

The man's heartbeats resumed after minutes but he died in a hospital later. City authorities around China have demanded citizens wear masks while out.

1582727289635.png
 
UPDATE: Mgonjwa wa virusi vya Corona nchini Ujerumani akabiliwa na hali mbaya.

Wizara ya afya ya jimbo la North Rhine Wesphalia nchini Ujerumani imesema hii leo kwamba mtu alliyeambukizwa virusi vya Corona yuko katika hali mbaya na amepelekwa kwenye hospitali ya madaktari bingwa iliyoko kwenye mji wa Duesseldorf.

Kulingana na wizara hiyo, mtu huyo anayetokea mji wa Erkelenz karibu na mpaka wa Uholanzi kwa mara ya kwanza alilazwa siku ya Jumatatu akiwa na homa kali ya mapafu. Lakini baadae aligundulika kuambukizwa virusi hivyo na kutengwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kabla ya kupelekwa Duesseldorf.

Mke wake pia ametengwa kufuatia wasiwasi kwamba ameambukizwa virusi hivyo baada ya kuanza kuonyesha dalili. Tayari watu zaidi ya 80,000 wameambukizwa virusi hivyo kote duniani, huku Ujerumani ikiwa ni wagonjwa 19, idadi hii ikiwa ni kulingana na shirika la afya ulimwenguni, WHO. [DW]
 
NEWS ALERT: The US has started human testing of a drug to treat the novel coronavirus

Hope for treating the novel coronavirus could be on the horizon, as the first US study of a drug to treat the illness is underway.

A clinical trial to evaluate the safety and effectiveness of the antiviral drug remdesivir in adults diagnosed with coronavirus started at the University of Nebraska Medical Center in Omaha, the National Institutes of Health said.

The first participant is an American who was evacuated from the Diamond Princess cruise ship docked in Japan. [CNN]
 
UPDATE: So far, there is no cure or vaccine for the virus, which has infected more than 80,000 people and killed over 2,700 worldwide in the past few months.
 
UPDATE: Africa

Chinese Airplane land in Kenya with suspected cases of Coronavirus


Kenya's Ministry of Health has advised all 239 passengers aboard China Southern Airlines that landed today at Jomo Kenyatta International Airport to self-quarantine for 14 days.

1582732091702.png
 
NEWS ALERT: Romania’s Interior Ministry has denied media reports about a confirmed case in the country. However, an Italian citizen tested positive for coronavirus after visiting Romania.

====

Sintofahamu!
 
UPDATE: Coronavirus numbers worldwide;
  • 81,270 confirmed cases
  • 2,771 fatalities
 
Kuna taarifa ya uwepo wa kisa cha kwanza nchini Pakistan katika mji wa Karachi, mgonjwa akiwa amelazwa katika hospitali binafsi.

Taarifa zaidi zitafuata.
 
Back
Top Bottom