Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus)

Rais Magufuli amefanya maamuzi sahihi Mungu anatupesha na corona
 
Wenzio kujifukiza wamefanya tokea kuumbwa kwa ulimwengu hivyo ni jambo wana uzoefu nalo na wanaendelea kufanya hivyo.
kweli kabisa mkuu ni kama kuota moto ni kitendo kimeanza miaka na miaka lakini juzi hapa kuna familia wamefaliki kutokana na kuacha jiko la mkaa ndani
 
Top 10 African Countries With Highest Covid-19 Cases



1. Egypt have the highest confirmed cases in Africa. Egypt have 3,659 confirmed cases of covid19, 935 recoveries and 276 deaths.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya mikwara kwenye hotuba ya juzi sidhani kama waziri Ummy atakua na ujasiri wa kuendelea kuwa mkweli kama alivyokua ameahidi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
dw_kiswahili_B_PKmx5Jpd4.jpg
 
Wakuu,

Ni sababu zipi Marekani maambukizi yamekuwa mengi karibia zaidi ya nusu ya dunia ,na vifo leo vimefika 51,000.

Hawa marekani kimatibabu ,teknolojia pamoja na vifaa wapo juu sana,kumbukeni hata maambukizi yalipokuwa 15 Trump aliongea kwa madharau kwamba mi flue tu na graph haitapanda.

Spain vifo 22,000
Italy 25,000
UK 19,000

Lakini USA vifo haipungui
Africa vifo na maambukizi yanaenda polepole na hata lockdown za maana na isolation .


Kwanini USA wameshindwa kudhibiti vifo na maambukizi nchi ambayo imekuwa msemaji na wataalamu wa kila kitu.?

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Kinachowatesa USA ni ukweli ila Africa tunaficha ukweli na tunatengeneza takwimu za uongo. Umejiuliza why rapid recovery in Tanzania after president's speech?

"Nawa maji tiririka na sabuni kujikinga na corona, usisahau kujivukiza."
 
Back
Top Bottom