Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Fahamu kiundani kabila la Wapare na Wanawake wa kipare

Nilicho notice kwa baadhi ya watanzania (wajinga) akiwahi kutoswa na dem au aliwahi gombana na mtu basi ataanza kutukana kabila zima utadhan alichunwa na kabila lote. Vijana badilikeni
 
Hizi kutaja kabila fulani Kuwa eti ni malaya sidhani kama **** kabila linabakizwa.Mimi nilikua na Girlfriend wa Iringa Mhehe,sikunimemfumania watu wakaniambia "ndio walivyo hao".
 
Back
Top Bottom