dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 596
- 1,475
Karibia kila kitu kwenye ulimwengu kimeundwa na na Matter ikiwa kwenye umbo/aina tofauti kama Solids,liquids,gasses na plasma hizi aina aina za matter zimeundwa na particles ndogo {subatomic particles} inayoipa matter uzito{mass} na ujazo{volume} yake, hizi partcles inajumuisha protons na Neutrons { pia ikijulikana kama bayrons} pia Electrons na Neutrinos { ikijulikana kama Leptons } protons na neutrons zenyewe zikiwa na zimeundwa na Quarks na Gluons ila particles zote zikiwa zina pacha wake ambayo zikiwa na properties sawa ila charges tofauti zikiitwa ANTIMATTER
Mwaka 1928 mwana fizikia wa uingereza aitwaye Paul Dirac aliandika equation akijumuisha Quantum theory na Special Relativity kuelezea tabia ya electrons kwenye kasi ya uwiano [relativistic speed] equation Dirac aliyoandika ilimpatia Nobel Prize mwaka 1993 alionyesha equation inaweza kuwa na suluhisho aina mbili moja electron ikiwa na nguvu chanya na nyingine electron ikiwa na nguvu hasi
Ila classical physics ilisema nguvu ya particle siku zote huwa ni namba chanya. Dirac akatafsiri kuwa equation inamaaisha kuwa kwene kila particles iliyopo kuna antiparticles sawa, ikiwa imefanana kwa sifa zote ila kasoro zikiwa na charges kinyume chake
Mfano kwenye Electron kutakuwa na antielectron au Positron ikiwa ndo jina iliyopewa zikiwa zimefanana kwenye kila kitu kasoro electrical charges. Hii ikaja na mawazo huenda kuwa na uwezakano wa galaxies au hata ulimwengu ulioundwa na Antimatter. Ila cha ajabu nikuwa Matter na Antimatter hazitakiwi kukutano kwa zaidi ya sekunde chache na kama zikikutano kutakuwa na Maangamizi vyote vikipotea na kuacha mlipuko wa nishati ikiwa mfumo wa photons [mwanga] na gamma rays
Mwaka 1995 wana fizikia wa kituo cha utafiti wa particle physics cha kimataifa kiitwacho CERN kilichopo Meyrin Geneva Switzerland.
walitengeneza antiatom ya kwanza, ikiwa ni antihydrogen ikiwa na positron ikizunguka antiproton nucleus. Walifanya kwa kufanya collision ya nishati kubwa ya protons kwenye metal liyosababisha kutengeneza antiprotons kisha wakatenganisha antiprotons kwa kutumia magnetic fields iiiyofanya kuzipunguza kasi Antiproton kabla ya kutumika kwenye uchunguzi kisha kwa kuunganisha antiprotons na positrons wakatengeza atom za antihydrogen
ikiwa ndio antimatter iliyo kwenye fomu rahisi ila ilikuwa haiwezi kukaa kwa muda mrefu huchukua sekendu chache mno kisha inakutana na matter ya kawaida na kupotea ikiacha mwanga kwa sasa CERN wamefanikiwa kutengeneza Antihyrogren nyingi zikiwa zinaweza kukaa kwa sekunde 1000
Ingawa positrons huweza kutengenezwa kwa collision ya miozi ya kwenye cosmos ila hakuna ushahidi wa kuwa na antimatter kwa idadi kubwa kwenye ulimwengu, galaxy yetu ikiwa imebeba matter pekee, na inasemekana ndio kitu chenye bei ghali zaidi dunia ikiwa ina thamani ya trillion 62.5 dollar za kimarekani kwa gram moja pekee
Swali linakuja kama kwenye kila Matter lazima kuwe na antimatter inakuaje ulimwengu unakuwa na matter nyingi mno na antimatter ikiwa na idadi chache mno.
mwanzo wa ulimwengu kwenye tukio la Bing Bang ikuwa ni joto kubwa na kulikuwa na idadi sawa ya Matter na Antimatter hivyo baada ya mlipuko wa Bing Bang na ulimwengu kuanza kuongezeka joto likaanza kupungua na kusababisha ulimwengu kutokutengeneza particles ila particles zilizobaki zilikuwa zikikutana na antiparticles na kupotea na kuacha mwanga ila miongoni mwa hizo reaction kuna moja ilitokea na kuacha mwanga na kuacha Matter bila antimatter na hiyo kusababisha ulimwengu kuwa na Matter idadi kubwa na Antimatter kuwa na idadi chache mno