Nashukuru mkuu nitakucheki Ila gharama zake zipoje? Sio Bei Sana?Hiyo inapatikana mlimani city ni Product kutoka maleysia ukihitaji nicheki nikupeleke ina vibali vyote TFDA .TBS. BRELLA.NA TRA LICENSE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bei ni bei ila tiba ni uhakika haitibu tu vidonda vya tumbo hata kansa na stroke na mengineyo sugu inatibuNashukuru mkuu nitakucheki Ila gharama zake zipoje? Sio Bei Sana?
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee huyu mdudu ananisumbua sana na mimi yani daah sina raha.Hebu tusaidie dozi yake asee nasi aondoke maana mi nilishapata mpaka vidonda vya tumbo na mwili wote unauma vibaya sana plus dalili zote za mleta mada hapo juuMimi hapa ni mtaalamu, lakini pia nilishawahi kuugua na nikatest positive. Nikatumia hiyo regime na nikapona. Tangu 2018, sijawahi tena kupata hata maumivu ya tumbo. Naongea out of experience and professionalism
Duuuh kweli mkuu ya uhakika? Bei inaweza fika kiasi gani?Kwa bei ni bei ila tiba ni uhakika haitibu tu vidonda vya tumbo hata kansa na stroke na mengineyo sugu inatibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na wewe unasumbuliwa hivyohivyo yaani sijawahi kujua kama kuna huu ugonjwaaisee huyu mdudu ananisumbua sana na mimi yani daah sina raha.Hebu tusaidie dozi yake asee nasi aondoke maana mi nilishapata mpaka vidonda vya tumbo na mwili wote unauma vibaya sana plus dalili zote za mleta mada hapo juu
Ndiyo mkuu, na kwa suala la kujirudia ni ugonjwa wowote unaweza kujirudia ikiwa utakuwa exposed katika mazingira yake. Any disease..Sawa mkuu na ulishawahi kuwa na dalili zote hapo juu nilizoelezea? Pia Nasikia huyu mdudu ana tabia za kujirudia hata baada ya miaka 5.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa dozi check post namba 17aisee huyu mdudu ananisumbua sana na mimi yani daah sina raha.Hebu tusaidie dozi yake asee nasi aondoke maana mi nilishapata mpaka vidonda vya tumbo na mwili wote unauma vibaya sana plus dalili zote za mleta mada hapo juu
Kwenye list ya majani ya kujifukiza, bangi haimo mkuu..kama una mke,achana naye
ndio dawa,mimi nilipona nilivyoachana na mke wangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nitazingatia ushauri wakoNdiyo mkuu, na kwa suala la kujirudia ni ugonjwa wowote unaweza kujirudia ikiwa utakuwa exposed katika mazingira yake. Any disease..
[emoji3][emoji3][emoji3]Kwenye list ya majani ya kujifukiza, bangi haimo mkuu..
Ni kweli utamcheki MziziMkavu ?
Mkuu KIUNGULIA NICHO SANA HATA NIKINYWA POMBE KALI AU BIA NA BADHI YA VYKULA AU UBWABWA NA MAHARAGE HALAF NINYWE MAJI WE USIKU SILALI WAKATI MWINGINE HADI NIJITAPISHE ILE ACID NDO NILALE INAKUJA HADI MDOMON
Treatment usually lasts no more than two weeks. Using two antibiotics instead of one may reduce your risk of antibiotic resistance. Antibiotics used to treat H. pylori include:..
Na according to STG sasa PUD which is due to H.pylori anatumia dawa yaani whether Omeprazole 20mg P.O Bd for 10 to 14 days ataamua clinician na 2 antibiotics,metronidazole 400mg p.o bd pamoja na whether amoxicillin which should be 1g p.o bd hzo zte ni 10 to 14 days utaamua weweTreatment usually lasts no more than two weeks. Using two antibiotics instead of one may reduce your risk of antibiotic resistance. Antibiotics used to treat H. pylori include:
- amoxicillin
- tetracycline
- metronidazole
- clarithromycin...
Inahitaji uvumilivu na mashart kadhaa ya vyakulapud huu ugonjwa ni kero sana
Mi sometime napona ila nikijisaidia tu ugonjwa unarudi tena.. Mdomo unakua mchungu unakosa ladha nateseka sana ndugu zanguniInahitaji uvumilivu na mashart kadhaa ya vyakula
Ukijisaidia inakuaje mkuuMi sometime napona ila nikijisaidia tu ugonjwa unarudi tena.. Mdomo unakua mchungu unakosa ladha nateseka sana ndugu zanguni