Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Dawa wanazo tumia hospitali kutibu hao wadudu wa H. pylori Bacteria ni hizi hapa .Ni kweli utamcheki MziziMkavu ?
Kweli mkuu unayosemapole mkuu.
umetumia Heligo kit mda gani umepita? halafi ishu ni kucheza na risk factor mkuu yaan izo ant-biotic unatumia mara moja unakuwa usha waua kinachobaki ni ulcers kwa hiyo apo ant acid inabid zitumike (omeprazole,pantoprazole etc) hata hivyo risk factor ndio tiba sahihi mfano epuka kuwa na stress kupita kwan mwili wako utazalisha acid nying inakayoenda kuchoma kidonda naww kuumia zaid,epuka vyakula vyenye kiwango kikubwa cha acid ,otherwise kafanye endoscopy au barium test uone severity of ulcer then madaktary watakusaidia vizur kabisa. note maziwa,dawa za asili zitakufichia tatizo kwa mda lakin litakuja kujirudia tena
Mkuu ofisi yako ipo wapi?Mkuu Dawa wanazo tumia hospitali kutibu hao wadudu wa H. pylori Bacteria ni hizi hapa...
Sawa mkuu na wewe ukipata nijulisheMkuu ukipata dawa hata ya asili naomba nijulishe sababu kuna ndugu yangu anaumwa kama ulivyosema wewe kasoro yeye haarishi wala tumbo kuuma ila dalili zote ni kama wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ppi Nini baada ya kumaliza hizo dawa?Kama ni H-Pylori mkuu achana na Heligo Kit. Heligo kit ni underdose kwa H-pylori infection. Changanya hizi dawa:..
Proton Pump Inhibitors (PPI) ni kundi la dawa zinazotumika kudhibiti kiasi cha acid kinachozalishwa tumboni (kwa lugha rahisi).
Ipi hiyo mkuu,iweke wazi hapa hata wengine wapata uvumbuzi mkuu na gharama zake mkuu.kama hutojali.Mkuu tatizo lako ni dogo tu nitafute ujipatie tiba ya kudumu y kukuacha huru kabisa na hilo tatizo lako litaondoka kabisa..dawa yangu haipunguzi au kutuliza tu tatizo kwa muda bali huondoa kabisa tatizo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nimekuelewa,vipi lakini wewe ushawahi kuugua hili tatizo au? Na linaondoka kweli?Proton Pump Inhibitors (PPI) ni kundi la dawa zinazotumika kudhibiti kiasi cha acid kinachozalishwa tumboni (kwa lugha rahisi).
Ndani ya hili kundi ndo kuna dawa kama esomeprazole, lansoprazole, omeprazole, pantoprazole na rabeprazole.
Among the above mentioned, Esomeprazole is my favorite. Tena hasa ukipata ile brand ya Nexium.
Ni CERA hii ni kiboko ya magonjwa suguIpi hiyo mkuu,iweke wazi hapa hata wengine wapata uvumbuzi mkuu na gharama zake mkuu.kama hutojali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hapa ni mtaalamu, lakini pia nilishawahi kuugua na nikatest positive. Nikatumia hiyo regime na nikapona. Tangu 2018, sijawahi tena kupata hata maumivu ya tumbo. Naongea out of experience and professionalismSawa mkuu nimekuelewa,vipi lakini wewe ushawahi kuugua hili tatizo au? Na linaondoka kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo inapatikana mlimani city ni Product kutoka maleysia ukihitaji nicheki nikupeleke ina vibali vyote TFDA .TBS. BRELLA.NA TRA LICENSE
Sawa mkuu na ulishawahi kuwa na dalili zote hapo juu nilizoelezea? Pia Nasikia huyu mdudu ana tabia za kujirudia hata baada ya miaka 5.Mimi hapa ni mtaalamu, lakini pia nilishawahi kuugua na nikatest positive. Nikatumia hiyo regime na nikapona. Tangu 2018, sijawahi tena kupata hata maumivu ya tumbo. Naongea out of experience and professionalism