Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

Hospital gani naweza kupata Gastroenterologist hapa nchini, ili nikafanye vipimo zaidi
Not sure ila mimi kama miaka mitatu nyuma nilitibiwa na Dr mmoja pale Ebrahim Hajj Charitable Hospital
 
onyx,
Embu tumia matango kwa wingi,at least moja au mawili kila unapopata mlo,halafu unipe mrejesho ndugu
 
Hata mimi nina tatizo la GERD la muda mrefu lililotokana na H pylori na ma Dr huwa wanasema kunywa antibiotics huwa siyo njia muafaka kwani wadudu huwa hawaishi utaendelea kuwapata kutokana na vyakula mbalimbali. Hivyo huwa natumia anti acids kama omeprazol na esomeprazol
 
Pole sana..YES ukiweza kucontrol chakula kinacholeta shida problem inakuwa solved kwa asilimia kubwa sana
 
Hata mimi nina tatizo la GERD la mudHe mrefu lililotokana na H pylori na ma Dr huwa wanasema kunywa antibiotics huwa siyo njia muafaka kwani wadudu huwa hawaishi utaendelea kuwapata kutokana na vyakula mbalimbali. Hivyo huwa natumia anti acids kama omeprazol na esomeprazol
Kumbuka hapo unatuliza tu.Nimefatilia nikaona unaweza pata cancer ya koo kama una GERD.Je hakuna operation hapa Tz ya kumaliza tatizo
 
Mkuu hpylori nimepima, ila sijarudi tena kucheki baada ya matibabu, pia huo ugonjwa wa hiatal hernia unapimwaje,.Kingine sina stress, wala situmii hivyo vyakula. Na kama ni mikwaruzo tu tumboni nitumie dawa gani kuponya ikiwa kiungulia hakiishi, ila sina vidonda vya tumbo. Au hpylori wanasababisha kiungulia. Naomba mawazo yako
Relcer...hii ni antacid inawezakusaidia
 
Ivi Hawa bacteria(H PYLORI) wanasababishwa na nini???,,,na mimi nimetoka leo kuchukua dawa hizi ( CLARITHROMYCIN,TINADAZOL, PANTPRAZOLE )),,,,,
baada ya kukutwa na hao bacteria ,,,na bado nimeambiwa nikimaliza izo dawa nianze dozi ya amoxicillin vidonge vinne kutwa mara tatu,,,,, elfu 70 imekatika kwa madawa tu aisee,,,,,,,WANASABABISHWA NA NINI HAWA BACTERIA WAJUVI wa mambo,,,maana mi huwa tumbo linauma linaacha ,baada ya dakika kumi linauma tena nakuacha ivyoivyo
 
Hapana, nimetumia madawa mengi ya heligo kit kutibu hpylori, kumbuka nima antbiotics ambayo mtu hushauriwi kutumia mara kwa mara, ndio maana nikasema hivyo
Hiyo heligo ilichonifanya sitaki hata kuisikia..imenufanya nabanduka ngozi mwili eote
 
Mkuu KIUNGULIA NICHO SANA HATA NIKINYWA POMBE KALI AU BIA NA BADHI YA VYKULA AU UBWABWA NA MAHARAGE HALAF NINYWE MAJI WE USIKU SILALI WAKATI MWINGINE HADI NIJITAPISHE ILE ACID NDO NILALE INAKUJA HADI MDOMON
 
Kumbuka hapo unatuliza tu.Nimefatilia nikaona unaweza pata cancer ya koo kama una GERD.Je hakuna operation hapa Tz ya kumaliza tatizo

Dah mimi nina hili tatzo, lilianza mda nimeshapima hiyo OGD, nikaambiwa nina GERD nikapewa mavidonge baada ya kumaliza dozi tatizo likarudi upya, nikapimwa mwez wa 6 nikaambiwa nina hao bacteria H.P nikatumia dawa lakn had wakati huu naandika moto unawaka tumbon had kifuani nikikaa sana joto linajitokeza hadi nje ya mwil ingawa nikipima na kipima joto, nakuta joto liko nomo, sasa sijui hata nifanyeje ila nateseka si mchezo
 
Mkuu KIUNGULIA NICHO SANA HATA NIKINYWA POMBE KALI AU BIA NA BADHI YA VYKULA AU UBWABWA NA MAHARAGE HALAF NINYWE MAJI WE USIKU SILALI WAKATI MWINGINE HADI NIJITAPISHE ILE ACID NDO NILALE INAKUJA HADI MDOMON
Kula ndizi mbivu mjomba. .ni tiba tosha ya kiungulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah mimi nina hili tatzo, lilianza mda nimeshapima hiyo OGD, nikaambiwa nina GERD nikapewa mavidonge baada ya kumaliza dozi tatizo likarudi upya, nikapimwa mwez wa 6 nikaambiwa nina hao bacteria H.P nikatumia dawa lakn had wakati huu naandika moto unawaka tumbon had kifuani nikikaa sana joto linajitokeza hadi nje ya mwil ingawa nikipima na kipima joto, nakuta joto liko nomo, sasa sijui hata nifanyeje ila nateseka si mchezo
Mkuu kuna dawa ya kiasili nikutumie namba ukaitafute, imenisaidia kwa kiasi mimi, ujitahidi utimize chupa saba. Inapatikana Temeke huko, 0712715253
 
Mkuu kuna dawa ya kiasili nikutumie namba ukaitafute, imenisaidia kwa kiasi mimi, ujitahidi utimize chupa saba. Inapatikana Temeke huko, 0712715253

Mkuu shukran na kwa vile nipo dar kesho nitawatafuta
 
Back
Top Bottom