GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,300
Mm nina vidonda vya tumbo mkuu, hiyo ya kuwaka moto kifua hutokea mara moja moja ikiwa vidonda vinauma sanaNa wewe kifua na tumbo linawaka moto, huna vidonda vya tumbo ila una hpylori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nina vidonda vya tumbo mkuu, hiyo ya kuwaka moto kifua hutokea mara moja moja ikiwa vidonda vinauma sanaNa wewe kifua na tumbo linawaka moto, huna vidonda vya tumbo ila una hpylori
Mimi tumbo haliumi, ila kifua na tumbo kuwaka moto ndio balaa. Pole sanaMm nina vidonda vya tumbo mkuu, hiyo ya kuwaka moto kifua hutokea mara moja moja ikiwa vidonda vinauma sana
Asante, mkuu kama tumbo lina waka moto hizo ni dalili za vidonda nakumbuka hata mm mwanzoni ilikuwa hvyoMimi tumbo haliumi, ila kifua na tumbo kuwaka moto ndio balaa. Pole sana
Mkuu tunatishana,sasa mbona nimepima endoscopy sijakutwa na vidondaAsante, mkuu kama tumbo lina waka moto hizo ni dalili za vidonda nakumbuka hata mm mwanzoni ilikuwa hvyo
Sikutishi nakuambia ambacho nilipitia kaka, moto unawaka upande upi wa tumbo?Mkuu tunatishana,sasa mbona nimepima endoscopy sijakutwa na vidonda
Katikati karibu na kifuaSikutishi nakuambia ambacho nilipitia kaka, moto unawaka upande upi wa tumbo?
Pole sana, ikiwa moto unawaka kushoto basi inasemekana inakuwa gastric ulcers na ikiwa kulia basi no duodenal ulcers. Hapo ktk sijajua mkuu,Katikati karibu na kifua
Complication gani hizo. Je unanishaurije, maana kuwaka kifua na tumbo bado kupo ila nimeambiwa sina vidonda, au nipime tena. Je kwako kuna mda tumbo linaumaPole sana, ikiwa moto unawaka kushoto basi inasemekana inakuwa gastric ulcers na ikiwa kulia basi no duodenal ulcers. Hapo ktk sijajua mkuu,
Mm vidonda vimeniletea complication sana mwilini mwangu
Mkuu kesho tu ngoja nikapimeHembu Pima u.t.i
Mkuu kama unaweza kupima unaweza pima tenaComplication gani hizo. Je unanishaurije, maana kuwaka kifua na tumbo bado kupo ila nimeambiwa sina vidonda, au nipime tena. Je kwako kuna mda tumbo linauma
Asante kwa ushauriYan Hata u. T. I tumbo huwa linawaka moto hasa chn ya kitovu na pia kuhs kama tumbo linawaka moto hembu pma kwanza
Ni kazi kutibu hii ishu. Dawa yake ni kuepuka baadhi ya vyakula na dawa, kubadili mtindo wa maisha na kutumia dawa za kupunguza asidi.Mkuu pole, kumbe na wewe kama mm tu hatuja pata dawa sahihi
Wapi nitapata daktari mzuri wa kuniangalizia hii kitu, maana ni shida sasaHiyo wanait
Hiyo wanaita gastroeasophageal reflux desease GERD Asidi ya tumboni inakuwa inapanda kooni na kuunguza kuta zake. Ndiyo maana maumivu unayasikilizia kifuani.
Pole sana...nina tatizo kama Lako,nimetumia sana helgo kits,Sijui raberprazole,omeprazole nikajagundua kuwa kuna vyakula vinanizidishia tatizo...Na wewe kifua na tumbo linawaka moto, huna vidonda vya tumbo ila una hpylori
Mi siku hizi hata nimesahau matumizi ya dawa baada ya kujua nini tatizo na nini kinafanya libidoWapi nitapata daktari mzuri wa kuniangalizia hii kitu, maana ni shida sasa
Na wewe tumbo na kifua vinawaka motoMi siku hizi hata nimesahau matumizi ya dawa baada ya kujua nini tatizo na nini kinafanya libido
Pole sana maana najua unavyojisikia na maumivu unayoyapata