Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

Hakuna Dawa ya Hospitali kutibu na kuwauwa hao Bacteria wa H-Pylori Sio rahisi kwa dawa zangu za asili dawa zipo na ukitumia wanakufa kabisa hao Bacteria wa H-Pylori. Dawa ya kuwauwa hao wadudu Bacteria wa H-Pylori mimi ninayo ukitaka nitafute Kwa What's App +905013460377.

VIRUS,GERMS AND BACTERIA CAUSING DISEASE? IT NEVER EXISTED!
Everything in nature COMPLIMENTS! Everything compliments!

A bacteria, a germ, a virus simply does not exist. It is a manifestation that is caused by erosion.
But the erosion is cause by mucus and the mucus came from the foods that you eat.
When cells cease to receive oxygen they break down and depending where the erosion is taking place, there the disease you would have.
If the erosion is in the nostril then it is sinusitis. If its in the bronchial tubes, its bronchitis. If its in the lung its pneumonia.
The only thing that causes the body to go into erosion is acid. Not alkalinity; acidity. Rip Dr.Sebi





Your browser is not able to display this video.
 
Nakataa kwamba hakuna dawa ya kuua h.pylori hapo hapana mzee na waliopona kwa hizo dawa unawaambiaje??....swali na discussion iliopo ni kwamba why h.pylori anaweza ku exist kwenye gastric environment angali kuna HCl na hapo ndo unaanglia protective mechanism za h.pylori including uwezo wake wa ku secret urea ambayo ina neutralize HCl ..naheshimu herbalist wote lakini don't say hakuna antibiotic can kill h.pylori..asante
 
Shukrani mkuu
 
Nina Hp roll positive tangu hii homa imenipata kichwani naona kama kuna fangasi yaani kichwa kama kinachemka kama kinawasha yani hata sikielewi ivi hamna machine ya kuangalia matatizo ya kichwa.
 
Daaah mkuu hilo tatizo lako kama langu nilisumbuliwa nalo wiki mbili lakini limeondoka lenyewe.mimi mwenyewe na h pylori
 
My friend hiyo conclusion yako haijakaa sawa, unaongelea sample moja to generalize your conclusion to the whole population which is automatically wrong!otherwise unayaongea haya based on conflict of interests or bias!
 
Pole sana ndugu yangu "dawa za kizungu zina sumu",usemi huu kuna wakati utaumeza hasa ukiwa taabuni,mwombe Mungu akuepushe na yote manake kabla hujafa hujaumbika
 
Dozi ya kuua hao bacteria ni kali sana,mimi nimekua na kesi ya vidonda vya tumbo sugu,vidonda vyangu ni vya kusababishwa na bacteria wa h-pylor.

Sijapona ila nina nafuu,kuna dawa nilitumia nimepima mara mbili sina bacteria,mpaka leo siamini kama kweli sina maana wamenisumbua miaka mitano, tatizo tunajaribu kuweka ushaidi wa makaratasi ya vipimo mods wanafuta.
 
Mkuu weka hiyo dozi watu wengine wafaidike H pylori imekuwa ni tatizo sasa, japo mimi nilipona kwa quadruple therapy.
 
Samahani Ghrama ya kipimo Cha h.pylori inaenda shilingi ngapi?
 
Tangu niambiwe nina H pallor positive nilitumia dawa mara moja tu heligo kit za siku 14 badae nikaamua kukubaliana na kitakachoendelea mwilini mwangu na kutoudhulia tena dawa mana nikajikuta nachoka tu kuendelea kutumia dawa kinachonisumbua ni kichwa kinakuwa kama nimetoka kusuka nywele siku ya kwanza kama kunawanawake hapa watajua nini namaanisha lakini mimi sisuki ila iyo hali ni hasa wakati wa kulala na kifua kinauma na mgongo shingoni pia kama nimevirigwa kamba mishipa ya shingo inauma sina raha kabisa.dawa nilishaacha kutumia
 
Mimi hapa ni mtaalamu, lakini pia nilishawahi kuugua na nikatest positive. Nikatumia hiyo regime na nikapona. Tangu 2018, sijawahi tena kupata hata maumivu ya tumbo. Naongea out of experience and professionalism
Mkuu samahani,hii huduma ya h pylori culturing kwenye Lab inaweza kutoa ufumbuzi wa jinsi ya kutibu hawa vidonda? Na huwa hii huduma inapakikana hospitali gani kwa Dar kama hutojali
 
Mkuu ulitumia dose gan na ni hospitali gan walifanikiwa kukutibu? Hii itasaidia kutupa ahuen na wengine tulioshindwa kuwatibu hao wadudu.Binafsi HELIGO kit imenikataa kabisa na kila mara nikipima wapo positive
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…