Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

Fahamu kuhusu bakteria wa H.Pylori; Athari na tiba yake

Mzizi mkavu you are absolutely correct lakini brouh sahivi cemetidine,ranitidine,famotidine yani h2 blockers zote in PUD hazitumiki recent studies zinaonyesha mwisho wa siku wengi wanaotumia wana end up with CA's esp gastric carcinoma n zingn nying especially wenye GUDs....na refer to STG sasa brouh but all in all nathamini mchango wa herbalists wote Tanzania na wanatusaidia mengi na lengo letu sote ni moja kaka yangu asante sana
Hakuna Dawa ya Hospitali kutibu na kuwauwa hao Bacteria wa H-Pylori Sio rahisi kwa dawa zangu za asili dawa zipo na ukitumia wanakufa kabisa hao Bacteria wa H-Pylori. Dawa ya kuwauwa hao wadudu Bacteria wa H-Pylori mimi ninayo ukitaka nitafute Kwa What's App +905013460377.

VIRUS,GERMS AND BACTERIA CAUSING DISEASE? IT NEVER EXISTED!
Everything in nature COMPLIMENTS! Everything compliments!

A bacteria, a germ, a virus simply does not exist. It is a manifestation that is caused by erosion.
But the erosion is cause by mucus and the mucus came from the foods that you eat.
When cells cease to receive oxygen they break down and depending where the erosion is taking place, there the disease you would have.
If the erosion is in the nostril then it is sinusitis. If its in the bronchial tubes, its bronchitis. If its in the lung its pneumonia.
The only thing that causes the body to go into erosion is acid. Not alkalinity; acidity. Rip Dr.Sebi

Hakuna Dawa ya Hospitali kutibu na kuwauwa hao Bacteria wa H-Pylori Sio rahisi kwa dawa zangu za asili dawa zipo na ukitumia wanakufa kabisa hao Bacteria wa H-Pylori.

VIRUS,GERMS AND BACTERIA CAUSING DISEASE? IT NEVER EXISTED!
Everything in nature COMPLIMENTS! Everything compliments!

A bacteria, a germ, a virus simply does not exist. It is a manifestation that is caused by erosion.
But the erosion is cause by mucus and the mucus came from the foods that you eat.
When cells cease to receive oxygen they break down and depending where the erosion is taking place, there the disease you would have.
If the erosion is in the nostril then it is sinusitis. If its in the bronchial tubes, its bronchitis. If its in the lung its pneumonia.
The only thing that causes the body to go into erosion is acid. Not alkalinity; acidity. Rip Dr.Sebi

View attachment 1468671
Nakataa kwamba hakuna dawa ya kuua h.pylori hapo hapana mzee na waliopona kwa hizo dawa unawaambiaje??....swali na discussion iliopo ni kwamba why h.pylori anaweza ku exist kwenye gastric environment angali kuna HCl na hapo ndo unaanglia protective mechanism za h.pylori including uwezo wake wa ku secret urea ambayo ina neutralize HCl ..naheshimu herbalist wote lakini don't say hakuna antibiotic can kill h.pylori..asante
 
Mkuu kataa au kubali Hakuna dawa ya Hospitali itakayo weza kutibu na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa H-Pylori. Mimi nimemtibu mgonjwa wangu kw akutumia dawa za Asili na amepona na majibu yake nimeshakuwekea ukikubali sawa usipo kubali pia sawa ninakuacha kama ulivyo amini unavyo amini siwezi kukulazimisha kitu ninacho amini mimi ukaamini wewe haitowezakana.Asante
Shukrani mkuu
 
Nina Hp roll positive tangu hii homa imenipata kichwani naona kama kuna fangasi yaani kichwa kama kinachemka kama kinawasha yani hata sikielewi ivi hamna machine ya kuangalia matatizo ya kichwa.
 
Daaah mkuu hilo tatizo lako kama langu nilisumbuliwa nalo wiki mbili lakini limeondoka lenyewe.mimi mwenyewe na h pylori
 
Mkuu kataa au kubali Hakuna dawa ya Hospitali itakayo weza kutibu na kuwauwa hao wadudu aka Bacteria wa H-Pylori. Mimi nimemtibu mgonjwa wangu kwa kutumia dawa zangu za Asili na amepona na majibu yake nimeshakuwekea ukikubali sawa usipo kubali pia sawa ninakuacha kama ulivyo amini unavyo amini siwezi kukulazimisha kitu ninacho amini mimi ukaamini wewe haitowezakana.Asante
My friend hiyo conclusion yako haijakaa sawa, unaongelea sample moja to generalize your conclusion to the whole population which is automatically wrong!otherwise unayaongea haya based on conflict of interests or bias!
 
Ninacho ongea nina uhakika na kuwa hakuna dawa ya hospitli itakayo weza kutibu na kuwauwa hao Wadudu aka Bacteria wa H-Pylori Ukiniamini au usipo niamini ni Shauri yako. Amka achana na Vidonge vya kizungu vyenye sumu haviponyeshi maradhi vinazidi kukumaliza.Tumia dawa za asili zenye kuponyesha maradhi...
Pole sana ndugu yangu "dawa za kizungu zina sumu",usemi huu kuna wakati utaumeza hasa ukiwa taabuni,mwombe Mungu akuepushe na yote manake kabla hujafa hujaumbika
 
Dozi ya kuua hao bacteria ni kali sana,mimi nimekua na kesi ya vidonda vya tumbo sugu,vidonda vyangu ni vya kusababishwa na bacteria wa h-pylor.

Sijapona ila nina nafuu,kuna dawa nilitumia nimepima mara mbili sina bacteria,mpaka leo siamini kama kweli sina maana wamenisumbua miaka mitano, tatizo tunajaribu kuweka ushaidi wa makaratasi ya vipimo mods wanafuta.
 
Dozi ya kuua hao bacteria ni kali sana,mimi nimekua na kesi ya vidonda vya tumbo sugu,vidonda vyangu ni vya kusababishwa na bacteria wa h-pylor,sijapona ila nina nafuu,kuna dawa nilitumia nimepima mara mbili sina bacteria, mpaka leo siamini kama kweli sina maana wamenisumbua miaka mitano, tatizo tunajaribu kuweka ushaidi wa makaratasi ya vipimo mods wanafuta
Mkuu weka hiyo dozi watu wengine wafaidike H pylori imekuwa ni tatizo sasa, japo mimi nilipona kwa quadruple therapy.
 
Dozi ya kuua hao bacteria ni kali sana,mimi nimekua na kesi ya vidonda vya tumbo sugu,vidonda vyangu ni vya kusababishwa na bacteria wa h-pylor.

Sijapona ila nina nafuu,kuna dawa nilitumia nimepima mara mbili sina bacteria,mpaka leo siamini kama kweli sina maana wamenisumbua miaka mitano, tatizo tunajaribu kuweka ushaidi wa makaratasi ya vipimo mods wanafuta.
Samahani Ghrama ya kipimo Cha h.pylori inaenda shilingi ngapi?
 
Tangu niambiwe nina H pallor positive nilitumia dawa mara moja tu heligo kit za siku 14 badae nikaamua kukubaliana na kitakachoendelea mwilini mwangu na kutoudhulia tena dawa mana nikajikuta nachoka tu kuendelea kutumia dawa kinachonisumbua ni kichwa kinakuwa kama nimetoka kusuka nywele siku ya kwanza kama kunawanawake hapa watajua nini namaanisha lakini mimi sisuki ila iyo hali ni hasa wakati wa kulala na kifua kinauma na mgongo shingoni pia kama nimevirigwa kamba mishipa ya shingo inauma sina raha kabisa.dawa nilishaacha kutumia
 
Mimi hapa ni mtaalamu, lakini pia nilishawahi kuugua na nikatest positive. Nikatumia hiyo regime na nikapona. Tangu 2018, sijawahi tena kupata hata maumivu ya tumbo. Naongea out of experience and professionalism
Mkuu samahani,hii huduma ya h pylori culturing kwenye Lab inaweza kutoa ufumbuzi wa jinsi ya kutibu hawa vidonda? Na huwa hii huduma inapakikana hospitali gani kwa Dar kama hutojali
 
Dozi ya kuua hao bacteria ni kali sana,mimi nimekua na kesi ya vidonda vya tumbo sugu,vidonda vyangu ni vya kusababishwa na bacteria wa h-pylor.

Sijapona ila nina nafuu,kuna dawa nilitumia nimepima mara mbili sina bacteria,mpaka leo siamini kama kweli sina maana wamenisumbua miaka mitano, tatizo tunajaribu kuweka ushaidi wa makaratasi ya vipimo mods wanafuta.
Mkuu ulitumia dose gan na ni hospitali gan walifanikiwa kukutibu? Hii itasaidia kutupa ahuen na wengine tulioshindwa kuwatibu hao wadudu.Binafsi HELIGO kit imenikataa kabisa na kila mara nikipima wapo positive
 
Back
Top Bottom