January songo
Member
- May 26, 2017
- 96
- 100
Nnazo kwa bei ya 300000 contact 0714417739Wakuu naomba kujuzwa juu ya bei ya jiko la umeme la kukaangia bisi (Popcorn machine)
Huku kwetu kuna jamaa anauza 400,000/- sasa je hii ndo bei yake kweli hasa kwa Dar es Salaam!?
Na kwa Dar nitazipata wapi.
Nitakutafuta.Nnazo kwa bei ya 300000 contact 0714417739
Nitakutafuta. Naamini na bei itapungua kidogo.295,000/ only brand new unapata na warranty.
If interested 0715677739 contact me.
Top 290,000/Nitakutafuta. Naamini na bei itapungua kidogo.
Msimu mgumu huu Mkuu, nakutafuta nina 250,000/- nipo nje ya dar, ila the coming week end nakuja huko.Top 290,000/
Hapa ungemalizia kuandika kwa kiswahili tu mkuu ungeeleweka na kila mmoja anayepitia huu uziMsimu mgumu huu Mkuu, nakutafuta nina 250,000/- nipo nje ya dar, ila the coming week end nakuja huko.
Nadhani mwenyewe amenielewa(hata wewe Mkuu) nimetumia kiingilish cha matopeni tu.Hapa ungemalizia kuandika kwa kiswahili tu mkuu ungeeleweka na kila mmoja anayepitia huu uzi
Hapana mkuu kwa bei hio!Msimu mgumu huu Mkuu, nakutafuta nina 250,000/- nipo nje ya dar, ila the coming week end nakuja huko.
285000 bila kuletewa uje mwenyeweMsimu mgumu huu Mkuu, nakutafuta nina 250,000/- nipo nje ya dar, ila the coming week end nakuja huko.
watanzania bwanaHabari zenu wapambanaji wenzangu, katika harakati za ujasiriamali nimepata mashine ya kutengenezea bisi ( pop corn) na nahitaji kuitumia katika kujiongezea kipato, Je msaada kwa wazoefu wa biashara hii, nitafute Mtu nimkodishe aniletee hesabu kwa week au nitafute kijana nimuajiri. IPI inalipa zaidi, maana mwnyew Niko busy na ujasiriamali mwingine . shukrani wakuu
haha mkuu, sijainuna mimi. kuna rafiki yangu amenipatia alikuwa anahama nchi, thats why nikaomba ushauri kupata uzoefu. shukran sana kwa ushauri.watanzania bwana
yaani umeetafuta pesa
umeenda dukani
ukazitoa
bila kujua utaziuzaje hizi pocon.
turudi kwenye mada
kila mtu ana uuzaji wake inayegemea upo wapi karibu na stendi ukimpa kijana italipa zaidi hata hivyo maindi yapo juu sana bei yake
mkuu mbona mm nimeenda nimekuta maneno ya kichina tuuu ni vipi??ahsante VOR, ndio nataka kuanza ila kuhusu wateja kwa simple research niliyofanya naona haitasumbua.
Wazo la kuuza na juice ni zuri lakini sitoweza maana gharama tena itabidi ziongezeke.