Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Tena wakat wa kuangalia movie kwa wakubwa nzuriii
Uzuri pia Tanzania yetu siku hizi muvi kila siku, ya Dr shika ndo inakaribia kuisha, itaibuka nyingine sasa hivi..

Lazima auze popcorn tu.
 
gwankaja watu mara nyingi hupiga hesabu za kufikirika sana na matumaini ya uongo. ingekuwa hivyo kila mtu angeuza hizo popcorn. kuna jamaa watakwambia mwosha magari ana make pesa nyingi sana kuliko x... watakupigia mahesabu kadhaa ambayo unaweza kesho tu ukaacha kazi ukaenda kuosha magari. kwa hii thread kuna mtu anaweza acha kazi mwisho wa mwezi huu akanunue mashine aanze kuuza popcorn.
Bado mauzo si constant...
Huwa nacheka sana na hizo hesabu za sijui sh ngal mara siku 30 mara 365...

Mi mwenyewe ninayo hiyo mashine dukani, hesabu sio nyepesi hivyo!!
 
Vipi kuhusu inayotumia gesi mkuu? Nayo ni bei sawa?
 
Electricity popcorn 330,000/
22405575_319205271886499_7187215287949438462_n.jpg

Gas popcorn 550,000/
IMG_20171225_112207.jpg
0713662655
 

Attachments

  • IMG_20171225_112207.jpg
    IMG_20171225_112207.jpg
    135.9 KB · Views: 262
Husika na mada tajwa hapo juu nimeamua kuanzisha biashara ya popcorn baada ya kuona mahali nilipo hakuna mtu anayejishughurisha na biashara hiyo
Shida yangu kubwa kupata ujuzi jinsi ya kutengeneza popcorn za chocolate
Nawasilisha kwenu mawazo yenu ni muhimu kwangu na nifaida kwa wengine wasiojua

Sent using Jamii Forums mobile app
je umefanikiwa? kama bado njoo inbox
 
Habari zenu wapambanaji wenzangu, katika harakati za ujasiriamali nimepata mashine ya kutengenezea bisi ( pop corn) na nahitaji kuitumia katika kujiongezea kipato, Je msaada kwa wazoefu wa biashara hii, nitafute Mtu nimkodishe aniletee hesabu kwa week au nitafute kijana nimuajiri. IPI inalipa zaidi, maana mwnyew Niko busy na ujasiriamali mwingine . shukrani wakuu
machine yako ni ya umeme au gas?
 
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya wajasiriamali wadogo wadogo ambao wana malengo ya kufanya biashara zimejadiliwa biashara nyingi sana humu jukwaani lakini kuna kuna biashara moja tu watu hatujaitazama wala kuijadili nayo ni ni biashara ya 'POPCORN' hivyo kama unaijua vizuri hii biashara weka mawazo yako hapa ili wengi wanufaike na hayo mawazo vipengele vya kuvijadili kwanza anza na

1-kiasi cha mtaji kinachoweza kuanzisha hii biashara

2-chambua matumizi jinsi huo mtaji utakavyoweza kufungua hii biashara labda kiasi flani kitanunua hiki kiasi flani kitanunua kifaa flani na kiasi flani kitatumika kama mtaji wa kununulia mahindi ya popcorn.

3-Chambua jinsi mtu utakavyoweza kutengeneza faida na ni vitu gani vikitokea vinaweza kusababisha mtu akaingia kwenye hasara.

Nadhani hayo yanatosha mengi zaidi tutaulizana kwenye comment na kujuzana mengineyo ambayo sijayaorodhesha hapo karibuni wanajamvi wenye experience ya kutosha kuhusu biashara hii ya POPCORN.
 
Back
Top Bottom