Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Yaaap nilikua nahitaji Sana hiz machine nitawatafuta wasika maadam namba mmeacha hapo
 
Wadau naomba kujua njia sahihi ya kuchagua popcorn machine nzuri kwa ajili ya biashara
Screenshot_20180914-122105.jpeg
 
Nami nasubr, ila ambayo nimeona ikitumika sana n hyo ya nne kwenda chin kwenye row ya kwanza
 
Kma unashida ya kujua jinsi ya kupika popcorn za iliki au kununua mashine za popc ya au kutengenezew kweny sherehe km birthday,kichenpart,sendoff na harusi na kutoa order kuletewa kweny supermarket tuwasiliana
 
0715664125 ukipiga utasaidiwa shida yoyote inayo husu biashara ya popcorn
 
Kwa muda wa miaka 3, ninachoma bisi yenye ladha moja tu "asilia" naomba ushauri kwenu ili nianze 2019 kufanya biashara yenye bashasha kwa kuchoma bisi zenye ladha tofauti.
 
Kwa muda wa miaka 3, ninachoma bisi yenye ladha moja tu "asilia" naomba ushauri kwenu ili nianze 2019 kufanya biashara yenye bashasha kwa kuchoma bisi zenye ladha tofauti.
Kuna flavour nyingi sana za Popcorn siku hizi,
Jaribu kuimprove bidhaa yako kwa kujaribu hizi flavour;

  1. Butter popcorn
  2. Salted caramel
  3. Cookies & creme
  4. Nacho cheese popcorn
  5. Chocolate covered strawberry
  6. Cheese popcorn
  7. Caramel popcorn
  8. Cracked pepper & sea salt.
 
Kiongozi nimepokea ushauri wako kwa mikono miwili, ila bado nipo gizani kidogo inaelekea unao utaalamu? Ulivyoandika ni ladha au vichanganyio? Na vipo dukani au kujiongeza tu.....
 
Kiongozi nimepokea ushauri wako kwa mikono miwili, ila bado nipo gizani kidogo inaelekea unao utaalamu? Ulivyoandika ni ladha au vichanganyio? Na vipo dukani au kujiongeza tu.....
Ni vichanganyiko ambavyo vinaleta ladha,hizo flavour unaweza kuzipata dukani ila sina uhakika kwa huko bongo.
 
mm nliag
samahani,mimi sio kaka.wewe ingia www.amazon.co.uk kwenye search,andika popcorn maker,bei utaziona mwenyewe.sitii faida ndio maana nimekwambia,ingia mwenyewe uone

samahani,mimi sio kaka.wewe ingia www.amazon.co.uk kwenye search,andika popcorn maker,bei utaziona mwenyewe.sitii faida ndio maana nimekwambia,ingia mwenyewe uone
mimi nliagiza moja kutoka uingereza zipo very interest kabisa from ambiano popcorn maker
 
Husika na mada tajwa hapo juu nimeamua kuanzisha biashara ya popcorn baada ya kuona mahali nilipo hakuna mtu anayejishughurisha na biashara hiyo
Shida yangu kubwa kupata ujuzi jinsi ya kutengeneza popcorn za chocolate
Nawasilisha kwenu mawazo yenu ni muhimu kwangu na nifaida kwa wengine wasiojua

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nini usijaribu kukata small particle za chocolate alafu ukamix na popcorn zako
 
Back
Top Bottom