Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wadau mmesahau huu uzi wa ndugu yetu.Wadau wa jukwaa hili La biashara nilikuwa nataka kufahamishwa au kujifunza juu ya hii biashara ya Popcorn.
Je, Mashine zake zinauzwa bei gani? na je umakini gani unahitajika katika kuziandaa mpaka kuwafikia walaji? Na faida zake zikoje na hasara zake ni zipi walaji wakubwa wa hizi popcorn ni kinani na muundo upi nitumie kuziuaza nitafute kibanda au nitembeze kwa baiskeli.
Majibu yenu msaada wenu ni muhimu kwangu kwani nimeona mahali nilipo ni biashara inayo weza kufanikiwa kwa kuwa hakuna watu wengine wanao ifanya kwa mahali nilipo.
Napatikana kanda ya ziwa mkoa wa Geita.
Mkuu unamwambie mwenzio sense Coco Beach na Ferry ,zipo Wapi pale Geita!Mimi nilikuwa natumia baiskeli,unaifunga mtungi wa gesi na mashine ya popcorn..tafuta kipaza sauti unazunguka mabarabarani na mashuleni,siku za sikukuu kwenye ma-beach coco,feri hadi mji mwema,lwenye shughuli mbalimbali n.k.
Yaani ni kama biashara ya kijinga lakini utakuja kuniambia matokeo yake baada ya miezi kadhaa...usikae nayo biashara sehemu moja,jaribu kutembeza umfikie kila mmoja kadri inavyowezekana,mi niliacha baada ya kufikia target sasa niko na biashara zingine...hiyo ilikuwa dar es salaam lakini,sijui ktk mazingira uliyopo utaiwekaje.
Duh watanzania bado tuna uelewa mgumu!!!..Mkuu unamwambie mwenzio sense Coco Beach na Ferry ,zipo Wapi pale Geita!
Mkuu hiyo link haifunguki. Unaweza kuituma tena mkuu wangu?Habari Hope you are fine.....
Kutokana na kwamba tayari umeshafanya market na wateja tayari unao..., kitu kilichobaki ni koberesha bidhaa yako.., ifanye iwe bora na unique ili upate repeat costomers hakikisha na package ni nzuri na since bisi zinaendana na juice unaweza ukauza na juice as well nimecheki online nimeona recipes za popcorn kwahiyo unaweza ukatengeneza popcorn tofauti na kuzipa majina matamu mfano Delicious-Hus,
etc 🙂
angalia hapa hizi recipes they might help Popcorn recipes - Free and easy popcorn recipes collection
Dont forget another market segment, supermarket...., usiogope hata big guns kama Shoprite so long as ukiweka bar code na kama upo registered you can sell to them, if not hata hizi supermarkets za mitaani sio mbaya
ngoja nimuite jamaa mmoja anaitwa boloyoung aje kuendeleza uziWadau mmesahau huu uzi wa ndugu yetu.
unapatikana wapi mkuunauza mashine ya bisi 170,000 imetumika kidogo.
Unapatikana wapi mkuu? Inatumia gas or umeme?nauza mashine ya bisi 170,000 imetumika kidogo.
Mi nimeifanya kuanzia mwaka jana mwezi wa 5 Nimekuja kuacha mwaka huu mwezi wa 9.Hi Husninyo unaendeleaje na hii biashara?
Ooh ok ahsante kwa kushare mkuuMi nimeifanya kuanzia mwaka jana mwezi wa 5 Nimekuja kuacha mwaka huu mwezi wa 9.
Ni biashara nzuri, sema Mimi nimeacha baada ya mambo kuwa mengii kwenye biashara yangu ya vinywaji.
#YNWA