Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Je una fahamu kuhusu biashara ya Carbon Credit?
Leo nataka nizungumze kidogo kuhusu biashara ya carbon Credit.
Biashara ya Carbon Credit inahusu uuzaji na ununuaji wa emmision rights.Yaani uuzaji na ununuaji wa haki za kuchafua mazingira kwa kutoa hewa ya UKAA.(CO2).Kwa kawaida tunatoa hewa hii tunapopumua,tunapoendesha vyombo vya moto tunapopika na tunapoendesha viwanda na mitambo kwa kutumia nishati zinazozalisha gesi hizi.
Unawezaji kufanya biashara hii?Unaweza kufanya biashara hii kwa kuwekeza katika shughuli zinazohusiana na USAFISHAJI wa hali ya HEWA yaani hewa ya UKAA.Hewa ya ukaa husafishwa kwa kutumia FOREST COVER yaani misitu,na shughuli za kilimo.
Ili uweze kufanya shughuli hii ni lazima utambue maeneo ambayo unaweza ama kufanya usafishaji au kufanya uhifadhi au vyote kwa pamoja.Kwa mfano.Kama wewe ni mkulima na unahitaji kulipwa kwa usafhsji wa mazingira unaofanya basi itachukuliwa eneo lote unalolima na kiasi cha hewa ukaa ambayo unaweza kusafisha mfano kwa siku mwezi au hata mwaka na kisha utaanza kutafuta wateja wa kuwauzia hewa hiyo safi.UZURI ni kwamba hutahitaji kubeba hewa hiyo bali utaendelea na uhifadhi wako na wao wataendelea na uchafuzi wao.
Ni kama mzoa taka ila unazoa aina tofauti ya TAKA na kwa mtindo tofauti.
Ni aina nzuri ya biashara na ina aina nyingi ya wateja.Iwapo ungependa kufahamu zaidi kuhusu aina hii mpya ya biashara na namna ambavyo unaweza kuingia katika BIASHAR hii tafadhali wasiliana na wataalam wa mazingira au tutafute kwa muongozo kupita email: masokotz@yahoo.com