Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

Hivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini?

Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa.

Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
 
Fikilia unanunua mchele labda kilo moja Tsh 1,200/= lakini kilo moja hyo unawapakulia wateja sahani tatu za buku tatu tatu,umeona raha yake hapo ndugu?
Kilo moja sahani 3? Sio kweli ni zaidi ya 3
 
Hivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa.

Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Tupe ideas zako mkuu
 
Inategemea kama ni mama ntilie (haulipi kodi n.k.) au kama ni restaurant, pia kama unafanya tu au na wewe unajilipa mshahara unaostahili sababu hii kazi ni time consuming sana.... pia inabidi ufanye hesabu vizuri unless otherwise utakuwa unagawa chakula bure... mfano mdogo tu.., kwenye chips unazouza 2,000/= faida ni ngapi ? wastage ni ngapi na muda wako unauprice kiasi gani..

Mfano, mtu anakuja kwako anakunywa soda anataka umpe soda tshs 500 ambayo faida yake ni Tshs. 91/= anataka umpe tissue, tuseme cost Tshs. 10, na hapo sijaweka toothpick ambayo anaondoka nayo anatafuna utaona hapo haraka haraka umebakiwa na 81 bado sijaweka luku ka kufanya soda hio iwe baridi..., najua umeulizia chakula lakini ni same process ukiweka gharama zote mwanzo mwisho, plus muda wako huenda hailipi kama unavyofikiri na ndio maana ukienda baadhi ya restaurant ukiuziwa soda kwa tshs. 1,000/= usikasirike.

Kwa haraka haraka nadhani bites na juice fresh za kutengeneza mwenyewe zinalipa kuliko chakula
 
Hivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu
Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose ? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa. Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Mbona hujatoa wazo lako?? Umeponda tuu bila kutoa hata mfano wa biashara moja tuu ambayo inaweza kumtoa MTU kwa muda mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu
Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose ? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa. Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!

Once you have education on it real biashara ni zaid ya mtu kutoboa kama watz tulio wengi tunachofkilia. Biashara kama ina mfumo/system na management nzuri nasemaga kula siku inaweza kukua kwa rate zaid ya 100% ngoja nitoe mfano hai ambao watu wengi wanaujua METL by that time MO anaingia kwenye io biashara ilkuwa na turn over/mauzo ya dollar million 30 miaka kumi baadae ina mauzo/turnover ya zaid ua dollar billion 1 sasa angalia vzuri na ucalculate rate ya ukuaji wake per year sas najua utakuja na excuses kwamba uyo alkuwa na laslimal lakn pia angalia lake group pia angalia mengi biashara ya kwanza alfanya mauzo kwa mwaka wakwanz zaidi ya dollar milioni 1 lkan pia angalia chinese company then utajua jibu ya kwamba hatuna elimu ya biashara na wengi wetu wanchojua hadi ufanye biashara kwa mda mrefu ndo unaweza kutake off tubadilike maana ata JPM anavo sema Tz ya viwanda si kumsupport akaati bado tunafkra za 1900.
 
Hivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu
Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose ? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa. Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Exactly mkuu ndio tatizo letu kubwa binafsi niko somewhere kuna biashara nafanya na nimeifanya for 8 yrs japo nimeifanya kwa mafanikio lkn wengi wameiga na kushindwa na wengine wanaikosea sana mpaka vinakua vichekesho kwani wengi wao hawana ubunifu kabisa hakuna aneyekuja kitofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mkuu. Naomba niseme tu dunian hakuna biashara inayolipa na biashara isiyolipa. Biashara zote zinalipa na biashara zote hazilipi. Nasema hivi nikiwa namaana biashara ili ilipe inategemeana na mambo mengi ambayo kinyume chake inakuwa hailipi. Na ndio maana kwenye kila biashara kuna mtu ametoboa na kuna mtu amelia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu ndgugu zangu,

Mimi ni mgeni katika ukurasa huu naomba kufahamishwa ni njia gani na taratibu gani na gharama za kuanzisha au kufungua cafe nzuri ya wastani.

Msaada wenu tafadhali.
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika,

Nataka kuanzisha biashara ya 'Mama Ntilie' nina mtaji wa milioni moja hivi, kodi hapohapo.

Nimefanikiwa kuzunguka na kupata fremu ya 150,000 kwa mwezi amekubali nilipie kwa miezi mitatu, fremu ipo kwenye mzunguko wa watu ni maeneo ya Bunju B, nailipia jumamosi

Msichana msafi na mchangamfu ninaye labda atafute msaidizi.

Cha kuzingatia sijawahi kufanya biashara kabla wadau nakaribisha mawazo yenu kama kuna kitu cha kuzingatia nlichosahau hapo
 
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, nataka kuanzisha biashara ya mama ntilie nna mtaji wa milioni moja hivi kodi hapohapo, nimefanikiwa kuzunguka na kupata fremu ya 150,000 kwa mwezi amekubali nilipie kwa miezi mitatu, fremu ipo kwenye mzunguko wa watu ni maeneo ya bunju b, nailipia jumamosi, msichana msafi na mchangamfu nnaye labda atafute msaidizi. Cha kuzingatia sijawahi kufanya biashara kabla wadau nakaribisha mawazo yenu kama kuna kitu cha kuzingatia nlichosahau hapo
 
Back
Top Bottom