Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Hivi hii thread ya lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hii thread ya lini?
Kilo moja sahani 3? Sio kweli ni zaidi ya 3Fikilia unanunua mchele labda kilo moja Tsh 1,200/= lakini kilo moja hyo unawapakulia wateja sahani tatu za buku tatu tatu,umeona raha yake hapo ndugu?
Kuanzia kilo ngapi dada?nyama machinjioni ni 4000 tu.
Tupe ideas zako mkuuHivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa.
Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Mie walikua wananiuzia hata mojaKuanzia kilo ngapi dada?
ThanksMie walikua wananiuzia hata moja
Utaratibu kamili sifahamu
Hyo nyama n ya punda au
Inauzwa 4000 per 1kg
Mbona hujatoa wazo lako?? Umeponda tuu bila kutoa hata mfano wa biashara moja tuu ambayo inaweza kumtoa MTU kwa muda mfupiHivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu
Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose ? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa. Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Biashara ya chakula? Mbona m naona ni vitu viwil tofauti na watu wanachokiongerea kwenye uzii uu au mm ndo nakosea?Mbona hujatoa wazo lako?? Umeponda tuu bila kutoa hata mfano wa biashara moja tuu ambayo inaweza kumtoa MTU kwa muda mfupi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu
Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose ? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa. Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Exactly mkuu ndio tatizo letu kubwa binafsi niko somewhere kuna biashara nafanya na nimeifanya for 8 yrs japo nimeifanya kwa mafanikio lkn wengi wameiga na kushindwa na wengine wanaikosea sana mpaka vinakua vichekesho kwani wengi wao hawana ubunifu kabisa hakuna aneyekuja kitofautiHivi hamnaga mawazo ya kimapinduzi ya biashara ambayo mnaweza kuyafanyia kazi? Mbona kila mtu
Anapokuja na wazo la biashara anazungumzia biashara zilezile , muundo na mtindo ni ule ule ambao unatumiw na maelfu kama sio ma laki ya wafabiashara wengine waliotangulia, au ndio yale aliyosema boss "chasha farm "kwamba watanzania wanaogopa kutoka kwenye "comfort zone?" Au mnafanya biashara za kuigana? Ukiona flani amefanya amefanikiwa bas na ww ujitose ? Ivi kweli unawezaje kuchukua mtaji wa million 10 unawekeza kwenye bajaj? Au unafungua duka la reja reja mabibo utatoboa lini? Anayewadanganya kwamba biashara lazima ichukue miaka mingi ili ikitoe ni nan? Hamuoni mnajiingiza kwenye mtego wa kusubir miaka 15 ndo mfanikiwe kibiashara nyie wenyewe kutokana na uvivu wa kufikiria na kufanya uchunguzi wa mambo? Asee nna hasira ngoja niishie hapa. Mkuu naomba ukaajiriwe kama huwezi kuja na idea ya maana ya biashara, ndio maana waajiriwa wanawadharau , sio kwasababu biashara zenu ni ndogo bdo, la hasha, ni kwa sababu wanaona idea zenu za biashara ni za hovyo! Maduka ya kuuza mchele ni mengi sana naomba usituongezee lingine!
Hahahaha umenikumbusha mama mmoja hivimaharage robo tu ya 700 yanajaza vibakuli kumi >,mboga za majani kwa wateja wa mwanzo mwanzo.